Tag: kocha
KOCHA TAIFA STARS ALIVYOAMUA KUBADILI UPEPO KAMA UTANI
Zimebaki siku chache sana kabla ya kuanza kwa fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika huko Ivory Coast, mwakani kuanzia Januari 13 hadi...
KOCHA YANGA AWAAMSHIA MASTAA, KISA HIKI HAPA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kila mchezaji aliye ndani ya kikosi cha Yanga ana umuhimu na ubora, huku akisisitiza kuwa mchezo wa...
HAPA SIMBA WAVUNJE TU BENKI MAANA SIO KWA DAU HILI
Mabosi wa Simba wanaendelea kukuna kichwa juu ya kumalizana na kocha Abdelhak Benchikha ambaye ndiye pekee aliyepenya kwenye mchujo uliofanyika, ili wamlete kuchukua nafasi...
ISHU YA KOCHA WA SIMBA YAFIKIA PATAMU
Uongozi wa Simba SC umesema utamtangaza kocha wake mpya kabla haijacheza na ASEC Mimosas ya vory Coast katika mchezo wa kwanza wa Kundi B...
ZRANE YUPO TAYARI KURITHI MIKOBA YA ROBERTINHO SIMBA
Aliyewahi kuwa Kocha wa Viungo wa Simba SC, Adel Zrane, amefungua milango ya kufanya kazi na miamba hiyo ya Msimbazi, endapo Uongozi wa juu...
GAMONDI AWAGEUKIA HAWA JAMAA KAMA UTANI
Saa chache ikitoka kupata ushindi wa nane wa Ligi Kuu Bara msimu huu ugenini dhidi ya Coastal Union, Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amewaita...
KOCHA AL AHLY ALALAMIKA WAPITA NJIA KAMA ZA SIMBA
Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Marcel Koller, alia na mfululizo wa mechi huku akiitaja ratiba kuwa kikwazo kwa timu yake kupata matokeo...
KOCHA IHEFU AFUNGUKA KILICHOWAPONZA
Kipigo cha bao 1-0 ilichopewa Ihefu kutoka kwa KMC ikiwa ni siku chache tu tangu iizime Yanga, kimemfanya kocha mkuu wa timu hiyo ya...
GAMONDI AWAAMSHIA MABEKI YANGA KISA HIKI HAPA
Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wakitarajia kuchuana na Al Merrikh keshokutwa Jumamosi (Septemba 30), Kocha Miguel Gamondi, amewataka mabeki wake kuongeza...
GAMONDI ATAMBA SIO MTU MMOJA MMOJA NI KIKOSI KIZIMA ETI……ISHU IKO...
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesisitiza kuwa katika kikosi chake anataka kuona kila mchezaji anaweza kufunga mabao pale anapopata nafasi.
Katika misimu miwili iliyopita,...