Tag: mashabiki
EDO AWAITA MASHABIKI WA SOKA, AFUNGUKA MAZITO KUHUSU YAO WA YANGA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Edo Kumwembe amemsifia beki mpya wa kulia wa Yanga, Kouassi Attoula Yao kutokana na kiwango chake kuwa bora...
MASHABIKI SIMBA WAPIGWA NA KITU KIZITO SIMBA DAY
Wakati kilele cha tamasha la Simba Day kikihitimishwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , mashabiki mbalimbali wameonekana kulizwa kutokana na kuuziwa tiketi feki.
Mmoja wa...
SIMBA, YANGA HAWATAKI UTANI KWA MASHABIKI WAO
KLABU za Simba na Yanga hivi karibuni zimeingia makubaliano maalumu na Benki ya NMB kwa ajili ya kusajili wanachama na mashabiki wa klabu hizo...
KOCHA WA YANGA GAMONDI ANENA NA MASHABIKI, ASEMA HAYA
KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema hana shinikizo lolote kuelekea msimu ujao na anaimani yakufanya vizuri akiwa na mabingwa hao wa...
MAYELE AWA GUMZO AFRIKA LIPO LA KUJIFUNZA
Hapana shaka yoyote kuwa Fiston Mayele ni miongoni mwa washambuliaji bora kwa sasa hapa nchini na kuna kundi kubwa la wachezaji wa nafasi yake...
YANGA WAITIA TUMBO JOTO SIMBA, VIONGOZI WAHAHA
MASHABIKI na wanachama wa Klabu ya Simba ya Mkoa wa Mwanza kwa pamoja wameazimia kwa kauli moja kuuvua madaraka uongozi wa matawi ya Simba...
KOCHA WA YANGA AWEKA CV HADHARANI, ATOA KAULI NZITO KWA MASHABIKI
YANGA SC, imematangaza Miguel Ángel Gamondi, kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua mikoba ya Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye waliachana naye hivi karibuni baada...