Tag: mastaa simba
UNAAMBIWA MASTAA HAWA WATATU TU NDIO WAMEMKOSHA BENCHIKHA
Viungo watatu wa Simba, Sadio Kanoute, Fabrice Ngoma na Mzamiru Yassin wamemwagiwa sifa na kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha.
Kama ambavyo kocha aliyepita...
MASTAA WATAKAO IUA AL AHLY WAWEKWA WAZI SIMBA
Uongiozi wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo...