Tag: mayele
MRITHI WA MAYELE ATUA NCHINI KIMYAKIMYA, ISHU NZIMA IKO HIVI
MASHABIKI wa Yanga wanadai kitu pekee ambacho kimesalia kwenye kikosi cha ni kusajiliwa kwa mshambuliaji anayejua kufunga na hilo nalo limeisha baada ya mabosi...
MUSONDA AFUNGUKA KAZI NGUMU ALIYOKUWA NAYO YANGA, ISHU IKO HIVI
Baada ya kutupia bao kwenye mchezo wa Kilele cha Wiki ya Mwananchi, Mshambuliaji Kennedy Musonda ametoa msimamo akisema ana kazi ngumu ya kufanya kwa...
MWAMBA HUYU HAPA ALIYECHUKUA MIKOBA YA MAYELE
Klabu ya Young Africans imemsajili Mshambuliaji Hafiz Konkoni raia wa Ghana kwa mkataba wa miaka miwili na inaelezwa ndio mbadala wa Fiston Mayele.
Mshambuliaji huyo...
MZIMU WA MAYELE WAENDELEA KUSAKAMA YANGA, KUMPATA MRITHI WAKE MAJANGA, MPOLE...
Baada ya taarifa za kuuzwa kwa nyota wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye anakwenda kujiunga na Pyramid ya Misri, mawazo sasa kwa uongozi wa mabingwa...
MTEGO WA MAYELE YANGA SASA HADHARANI
NYOTA wa zamani wa kimataifa waliowahi kuwika Simba na Yanga, Edibily Lunyamila na Dua Said wameanika mtego ulioachwa na Fiston Mayele ndani ya Yanga...
YANGA YABAKISHA SIKU NNE KUWASHANGAZA MASHABIKI NA WADAU
ZIMEBAKI siku nne kuanzia leo mashabiki wa Yanga kushuhudia tamasha kubwa la kilele cha Wiki ya Mwananchi ambalo wanalitumia kutambulisha wachezaji wapya na wa...
MAYELE APEWA RUHUSU RASMI NA YANGA, HUYU HAPA NDIO MRITHI WAKE
UNAAMBIWA sasa ni rasmi kuwa mshahara wa milioni 50 aliopewa Fiston Mayele unamhalalisha hatakuwa mchezaji tena wa Yanga msimu ujao baada ya kuomba kwenda...
YANGA KUMLETA MAYELE MPYA BALAA LAKE SIO POA
Uongozi wa Yanga umefikia makubaliano ya kumuuza nyota wao wa kimataifa wa DR Congo, Fiston Mayele baada ya nyota huyo kuonyesha nia ya kutaka...
SABABU ZA MAYELE KUITIKISA YANGA ZAWEKWA WAZI MZIZE ATAJWA
MASHABIKI wa Yanga kwa sasa akili hazijatulia, hii ni kutokana na vuta nikuvute iliyopo baina ya klabu hiyo na straika Fiston Kalala Mayele. Mwamba...