Taifa Stars–Morocco Yafutwa, Majeruhi Watano Wavuruga Mpango Wa Gamondi
Mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Morocco uliopangwa Oktoba 5 umefutwa baada ya wachezaji watano kuumia, huku Gamondi akibaki na maswali baada ya safari ngumu…
Mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Morocco uliopangwa Oktoba 5 umefutwa baada ya wachezaji watano kuumia, huku Gamondi akibaki na maswali baada ya safari ngumu…
Taifa Stars imepata kipigo kizito cha mabao 5-0 dhidi ya AS FAR Rabat Morocco, huku Gamondi akipata tahadhari kubwa kabla ya mchezo unaofuata.
Taifa Stars ina ratiba ya michezo miwili ya kirafiki Morocco, ikianza Rabat Oktoba 2 kabla ya kukutana na Morocco U23 Oktoba 5 mjini Tangier.
Cyprian Kachwele ameifungia Taifa Stars katika sare ya 1-1 dhidi ya Madagascar. Hii ndiyo analysis ya mchezo na maana yake kwa Tanzania kuelekea AFCON 2027.
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo inashuka dimbani kumenyana na Madagascar katika mchezo wa Kundi L wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la…
Taifa Stars inaelekea Morocco kumkabili Madagascar baada ya kupoteza 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau. Gamondi sasa ana kazi ya kurekebisha ufanisi, balance na uchaguzi wa kikosi.
Miguel Gamondi amesema mchakato wa kupata nahodha mpya unaendelea baada ya Mbwana Samatta kustaafu. Saimon Msuva ametajwa kwenye mjadala kutokana na uzoefu na rekodi yake…
Taifa Stars ilikuwa na 60% possession na mashuti 20 dhidi ya 10, lakini Guinea-Bissau ikatumia mashuti mawili yaliyolenga lango kufunga mabao mawili. Hii ndiyo analysis…
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeanza vibaya mbio za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027) baada ya kukubali kichapo cha…