Tag: miquissone
MIQUISSONE MDOGO MDOGO KAMA HATAKI
Jose Luis Miquissone kiungo wa Simba SC taratibu anarejea kwenye makali yake kutokana na kuwa na mchango mkubwa wa upatikanaji wa mabao ndani ya...
SIMBA NA MIPANGO MAALUM KWA MIQUISSONE
Uongozi wa Simba SC umeamua kumsuka Luis Miquisson ambaye ameanza kunoga kikosini amepewa ndinga kali ya kisasa, amehamishwa nyumba aliyokuwa amefikia pamoja na kukabidhiwa...
YULE MIQUISSONE MNAE MTAKA ANAKUJA…. KOCHA AWEKA WAZI KILA KITU
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo 'Robertinho', amesema kuwa bado anampika kiungo mshambuliaji wake, Luis Miquissone na anaamini atarejea...
USHINDANI WA MASTAA HAPO SIMBA SIO POA, MATOLA AMUIBIA SIRI MIQUISSONE
SIMBA tayari imezindua Wiki ya Simba Day jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya viongozi, wanachama pamoja na wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo...
LUIS MIQUISSONE ATINGA UTURUKI KIBABE AKUTANA NA WAMBA HAWA, HATARI TUPU
LUIS Miquissone kiungo wa Simba baada ya kujiunga na wachezaji wenzake nchini Utuki ameanza mazoezi tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24.
Kiungo huyo...
HUKO SIMBA MAMBO NI MOTO SANA UNAAMBIWA MWENYE NAMBA YAKE KARUDI...
HABARI ya mjini kwa sasa ni Simba kufanikiwa kumrejesha kikosini nyota wake wa zamani kutoka Msumbiji, Luis Miquisone ikimsajili kama mchezaji huru baada ya...
ONANA, MIQUISSONE WAPEWA MTIHANI HUU
Baada ya kurejea kambini nchini Uturuki, Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira Robertinho ameanza na mastaa wapya akiwemo Luis Miquissone na Willy Onana.
Robertinho...
MSHAHARA WA LUIS MIQUISSONE HAPO SIMBA NI KUFURU
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis...
HUO MSHAHARA WA MIQUSSONE SIO POA, UNAAMBIWA AMETUA NCHINI KIMYAKIMYA
INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone raia wa Msumbuji ameletwa nchini kimyakimya na mabosi wa Simba na kufichwa katika mmoja...