SIMBA ATAMBA UGENINI, AWANYOOSHA WALIMA MIWA MANUNGU
IKIWA Uwanja wa Manungu, Morogoro katika safu za milima ya Uluguru, Mtibwa Sugar imeyeyusha pointi tatu. Ubao umesoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba ukiwa ni mchezo…
IKIWA Uwanja wa Manungu, Morogoro katika safu za milima ya Uluguru, Mtibwa Sugar imeyeyusha pointi tatu. Ubao umesoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba ukiwa ni mchezo…
Licha ya kutopoteza dhidi ya Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu kwa miaka 10, beki wa Simba, Israel Mwenda anaamini mechi ya leo baina yao kwenye…
MIAMBA ya soka nchini Simba, leo inaanza kampeni ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo pekee leo…
Timu ya Mtibwa Sugar kutoka Morogoro, imetamba kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 dhidi ya Simba SC…
MSHAMBULIJI wa Mtibwa Sugar, Vitalis Mayanga amesema licha ya kuanza taratibu na kikosi hicho ila mashabiki wake watarajie makubwa zaidi. Nyota huyo alijiunga na timu…
Mtibwa Sugar wamesitisha matumizi ya jezi Namba 4 kwa misimu minne ili kumuenzi Beki wao Iddy Mobby Mfaume ambaye alikuwa anatumia namba hiyo. Iddy Mobby…