Barker Afunguka Waliochelewa Kambi Ya Simba, Hakuna Kilichoharibika
Steve Barker amesema kuchelewa kwa baadhi ya wachezaji kujiunga na kambi ya Simba Polokwane hakujavuruga programu yake kuelekea ratiba nzito ya Oktoba.
Steve Barker amesema kuchelewa kwa baadhi ya wachezaji kujiunga na kambi ya Simba Polokwane hakujavuruga programu yake kuelekea ratiba nzito ya Oktoba.
Meneja wa Simba SC, Patrick Rweyemamu, ameweka wazi sababu zilizopelekea kikosi hicho kuamua kuweka kambi ya maandalizi nchini Afrika Kusini. Akizungumza kuhusu hatua hiyo, amesisitiza…