IJE MVUA AU LIWAKE JUA…SIMBA NA YANGA WIKIENDI HII…DAR ITASIMAMA KWA MKAPA KIBOSI
Wababe wa Ligi Kuu, Simba na Yanga wiki hii watakuwa na mechi za kuamua hatima yao katika mashindano ya Kimataifa. Simba inashuka uwanjani hapo Jumamosi…
Wababe wa Ligi Kuu, Simba na Yanga wiki hii watakuwa na mechi za kuamua hatima yao katika mashindano ya Kimataifa. Simba inashuka uwanjani hapo Jumamosi…
DOKEZO: Tajiri kaweka milioni 200 mezani ambazo kwa hesabu ya kawaida ndani ya dakika 90 kwenye kila dakika watakayokuwa uwanjani watalipwa Milioni 2.2. Hapo bado…
Machi 13 Kikosi cha Wachezaji 31 cha Timu ya Taifa kilitangazwa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Timu ya Taifa…
KIUNGO wa kazi ndani ya Simba, Hassan Dilunga amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania afya yake. Nyota huyo…
Uongozi wa Simba SC umekiri kupokea kwa mikono miwili maamuzi ya Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche ya kuwaacha Wachezaji Shomari Kapombe na Mohamed…
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuanza kwa maandalizi ya mchezo wa Mzunguuko watano wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa…
Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi…
Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema klabu hiyo haiwezi kufanya kiingilio bure katika mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika…
Kocha wa Simba Juma Ramadhan Mgunda amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kumuombea kwa Mungu ili kazi yake ya kuifikisha klabu hiyo mahali fulani inafanikiwa…