MMH HII SASA KUFURU…MABOSI WA SIMBA WAINGIA KAMBINI NA TIMU
Katika kuhakikisha wanashinda mchezo wa Jumapili (April 16) dhidi ya Young Africans, baadhi ya viongozi Klabu ya Simba SC kutoka kamati mbalimbali wamehamishia shughuli zao…
Katika kuhakikisha wanashinda mchezo wa Jumapili (April 16) dhidi ya Young Africans, baadhi ya viongozi Klabu ya Simba SC kutoka kamati mbalimbali wamehamishia shughuli zao…
Mabosi wa Simba wameamua kuifungia kazi Yanga inayonolewa na Kocha, Nasreddine Nabi kwani wamesema hawataki chochote zaidi ya ushindi katika Kariakoo Dabi, ambapo tayari wameandaa…
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya mchezo wa dabi kuonekana safu nzima ya waamuzi kuwa jinsi ya kike kuhakikisha dakika 90 zinamalizika salama.…
Wikiendi hii shughuli zote za michezo zitasimama kupisha dakika tisini za machozi, jasho na damu ambapo wababe wa soka la Tanzania Simba na Yanga watashuka…
Kitendo cha straika wa Simba, Jean Baleke kupeleka kilio mara mbili ndani ya Ihefu, kimetajwa kuwa ni sababu ya mabosi wa klabu hiyo kuachana na…
Stephane Aziz Ki amefunga mabao 4 katika Nbc Premier League tangu ulipoanza mwaka 2023, ni wachezaji wawili pekee waliofunga mabao mengi kuliko yeye kuanzia kipindi…
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil Robert Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa licha ya kuwajua wapinzani wake katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
Mara ya mwisho kwa wachezaji wazawa wa Simba kufunga kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara ni Desemba 30, mwaka jana kwenye ushindi wa mabao 7-1…
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi ikianza kupanda kabla ya timu hizo kuvaana Jumapili ya wiki hii, SOKA LA BONGO limenasa faili ya…
Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Songwe (SODIFA) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na…