Tag: Simba SC
JEAN AHOUA ATULIZA PRESHA SIMBA…MAZURI YANAKUJA
BAADA ya Simba kuanza Ligi Kuu Bara kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, kiungo wa mpya wa kikosi hicho, Ahoua...
KESI YA KOCHA WA SIMBA UPELELEZI BADO SANA
UPANDE wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Muharami Sultan (40) na...
AISHI MANULA ANATAKIWA AFANYE HIVI SIMBA
Aishi Manula! Ni miongoni mwa wanadamu wanaoishi hewani kwa sasa. Anaelea kama puto. Mara zote puto huwa linaelekea hewani bila ya mwelekeo. Ndivyo anavyoishi...
CHE MALONE ATUMA SALAM…NI MUDA WA KUFANYA VIZURI
Beki wa Simba Che Fondoh Malone ambaye alichaguliwa kuwa mchezaji bora kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tabora United ameweka wazi kuwa...
MUKWALA NA FREDY WALIVYOZINGUA SIMBA
KLABU ya Simba imesajili washambuliaji watatu hadi sasa, mzawa Valentino Mashaka na Steven Mukwala raia wa Uganda, wameingia kikosini hapo kuongeza nguvu eneo la...
FADLU DAVIDS AANZA NA VIHUNZI HIVI
Simba SC imempa jukumu Kocha Fadlu Davids kuiongoza timu hiyo msimu huu wa 2024-2025 katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki yakiwamo Ligi Kuu Bara na Kombe...
BREAKING NEWS…LAMECK LAWI ARUDI NCHINI…AJIFICHA HOTELINI
BAADA ya usajili wake kuzua balaa na mgogoro mkubwa sana kati ya Simba na Coastal Union, baadae Kijana akaenda zake Ulaya kujaribu bahati yake...
AWESU AWESU NA MASHAKA BALAA JINGINE SIMBA
MABAO mawili ya wachezaji wapya, Valentino Mashaka na Awesu Awesu, pamoja na lingine lililofungwa na Fondoh Che Malone, yaliiwezesha Simba jana kupata ushindi wa...
SIMBA KUMPELEKA KAMATI YA NIDHAMU MNUNKA
MRATIBU wa Simba Queens, Selemani Makanya amesema viongozi wa timu hiyo iliyopo Ethiopia kushiriki fainali za michuano ya Klabu Bingwa kwa Afrika Mashariki na...
AHMED ALLY AFUNGUKA MBILINGE USAJILI WA ATEBA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, aliuzungumzia usajili wa Leonel Ateba ulivyokuwa, huku akisema walikuwa na machaguo mengi lakini kura ya...