Tag: Simba SC
HUYU HAPA KIUNGO PUNDA SIMBA…ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA
Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc.
Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji...
SIMBA YAAMBULIIA MIL 188 TU…KIMENUKA MASHABIKI WACHARUKA HASWAA!!
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya watani wa jadi Simba na Yanga uliopigwa Aprili 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini...
ZA NDANI KABISA…RASMI RONALDINHO APEWA RUNGU SIMBA…HAWA HAPA WATEMWA
Simba imepanga kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi na hata katika safu yake ya uongozi malengo yakiwa ni kuhakikisha inarudisha mataji yote iliyoyapoteza msimu huu...
MO DEWJI AMGEUKIA MWENYEKITI WA BODI SIMBA…AMEFUNGUKA HAYA
RAIS wa heshima wa Simba, Mohamed 'Mo' Dewji amemsifu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salum Abdallah Muhene 'Try Again' kwa kazi nzuri anayoifanya na...
SIMBA NA YANGA ZAFANYA KUFURU…ZIMEVUNA MAMILIONI HAYA KWA DK 90 TU
Taarifa kutoka TFF imeeleza kuwa, mchezo wa dabi ya Simba SC dhidi ya Yanga SC imeingiza mapato ya shilingi Mil. 410,645,000.
Katika mchezo huo, jumla...
KIPA CHIPUKIZI SIMBA AMWAGA SIRI NZITO…AMTAJA AISHI MANULA…ISHU IKO HIVI A-Z
KIPA chipukizi wa Simba, Ally Salim amesema kuwa licha ya kuwa namba tatu na kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza lakini alikuwa anajiandaa vizuri...
SIMBA YAKIMBILIA CAF MECHI NA WYDAD…VAR ITATUMIKA…MANULA,KANOUTE OUT
Uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa kuelekea mchezo wao dhidi ya Wydad Casablanca kutoka Morocco ni kupata ushindi utakaowafanya wavunje mwiko wa...
HATIMA YA AISHI MANULA…KUAMULIWA LEO SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Kipa namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula leo atakutana na jopo la matabibu wa timu kutazamwa hali yake ili kujua kama yuko tayari...
HATIMAYE WAPINZANI WA SIMBA…KLABU BINGWA…WAANZA SAFARI KUTUA DAR
Mabingwa wa Afrika, Wydad Club Athletic, maarufu kama Wydad Casablanca wakiwa Uwanja wa Ndege wa Mohamed V Jijini
Casablanca usiku wa Jana wakati wanaanza safari...
KOCHA SIMBA AFICHUA SIRI HII YA KUIBANJUA YANGA…AMEFUNGUKA HAYA
Hatimaye Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira 'Robertinho', amafichua siri ya kuibanjua Young Africans katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliopigwa Juzi...