EDO KUMWEMBE AWATOLEA UVIVU SIMBA SC KUHUSU KUWEKA KAMBI UTURUKI…. ISHU IKO HIVI
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka nchini, Edo Kumwembe amedai kuwa kikosi cha Klabu ya Simba kilikwenda nchini Uturuki kuzurura tu badala ya kujiandaa na…
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka nchini, Edo Kumwembe amedai kuwa kikosi cha Klabu ya Simba kilikwenda nchini Uturuki kuzurura tu badala ya kujiandaa na…
Licha ya kutopoteza dhidi ya Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu kwa miaka 10, beki wa Simba, Israel Mwenda anaamini mechi ya leo baina yao kwenye…
MWAMUZI wa zamani Methew Akram amewataka wadau wa soka kuheshimu uamuzi wa mwamuzi wa fainali ya Simba dhidi ya Yanga, Jonesia Rukya kwa madai alijitahidi…
MIAMBA ya soka nchini Simba, leo inaanza kampeni ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo pekee leo…
Timu ya Mtibwa Sugar kutoka Morogoro, imetamba kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 dhidi ya Simba SC…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Iman Kajula, ameibuka na kubainisha kwamba, wamekuja na mpango mkakati maalum msimu huu wa 2023/24 utakaowawezesha kubeba makombe yote…
Kocha Mkuu wa Azam FC Youssouf Dabo ameondolewa kwenye orodha ya Makocha watakaokaa kwenye Mabenchi ya Ufundi wakati wa Michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara…
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza baada ya mchezo wa Ngao ya Jami, kati ya Young…
SIMBA SC imetangaza kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Ayubu Saleh Chamshama aliyefariki Agosti 11, 2023 akiwa hospitali nchini India. Taarifa ya klabu hiyo…
KOCHA wa Mashujaa, Mohamed Abdallah ‘Baresi’ amesema kwa namna mashabiki wa Kigoma walivyo na hamu ya kuziona timu kama Simba, Yanga, Azam FC na nyingine…