CHE MALONE AWA MWIBA KWA CHILUNDA NA PHIRI, ROBERTINHO AMPA NENO HILI
KAMA mashabiki wa Simba wakienda mazoezini wanaweza kutoa tuzo ya usajili bora kuwa beki kitasa Che Fondoh Malone, kwani jamaa kazi anaipiga sawasawa. Unachokiona uwanjani…
KAMA mashabiki wa Simba wakienda mazoezini wanaweza kutoa tuzo ya usajili bora kuwa beki kitasa Che Fondoh Malone, kwani jamaa kazi anaipiga sawasawa. Unachokiona uwanjani…
Simba imefanya usajili mkubwa kwa ajili ya msimu huu wa mashindano. Imeshusha vifaa vya maana kwelikweli. Imewashusha Che Fondoh Marlone, Leandre Onana, Luis Miquissone, Aubin…
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Mchambuzi wa michezo kupitia kituo cha Clouds Media Amri Kiemba amewataka Mashabiki na…
Kiungo wa Simba SC Sadio Kanoute ameweka wazi mwanzo mzuri wa msimu Kocha Robertinho amepata muda wa kutosha kujiandaa na wachezaji na anaamini ni wakati…
Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri ameandika katika mtandao wa Instagram kuwa amechelewa kuchapisha picha akiwa na Ngao ya Jamii kwakuwa alitingwa katika kuutafuta mpira uliopotea…
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake. Licha ya…
WAKATI joto la fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba Agosti 13 likizidi kupanda, makocha wa timu hizo wametambiana kila moja timu…
Timu zote zimetoka kucheza mechi za Nusu Fainali na kufanikiwa kufuzu kucheza Fainali, kuuendea mchezo wa Fainali ya watani wa Kariakoo itakuwa tofauti na ambavyo…
Klabu ya Singida Fountain Gate imetolea ufafanuzi taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa inshirikiana na Klabu ya Yanga kuelekea fainali ya Ngao ya Jamii leo kati ya…
WAKATI Simba ikipambana dhidi ya Singida Fountain Gate jukwaani kulikuwa na ugeni wa watu wanne wakiwasoma ambao uwepo wao hapo hauna habari njema kwa wekundu…