CHAMA, MOLOKO KUIKOSA NGAO YA JAMII ISHU IKO HIVI
Klabu ya Simba SC itamkosa kiungo wake, Clatous Chama kwenye michezo ya ngao ya jamii dhidi ya Singida Fountain Gate kesho Alhamisi, Agosti 10, 20230…
Klabu ya Simba SC itamkosa kiungo wake, Clatous Chama kwenye michezo ya ngao ya jamii dhidi ya Singida Fountain Gate kesho Alhamisi, Agosti 10, 20230…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amesema huwa akimwangalia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Stephanie Aziz KI huwa anajikuta anamshukuru kwa jinsi alivyowaokoa…
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anataka kuona timu yake ikipata ushindi wa mabao mengi zaidi, huku akipanga kutengeneza muunganiko wa safu…
Jumapili iliyopita Simba walikuwa na Tamasha lao la “Simba Day” katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kilele cha Tamasha hilo kilifana sana…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amefunguka kuhusu sakata lililoibuliwa mitandaoni na mashabiki wa timu hiyo wakihoji kwa…
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almasi Kasongo amesema waandaaji wa mashindano ya Super League wameomba klabu ya Simba itolewe kwenye ratiba ya Ligi…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza mechi ya watani wa jadi kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC itapigwa Novemba 5, 2023 saa…
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo ‘Robertinho’ raia wa Brazil amesema kuwa aliwabadilishia mbinu wapinzani wake Power Dynamos ya Zambia…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewashukuru Simba SC kwa mwaliko wa kuhudhuria kilele cha Tamasha la “Simba Day” Agosti 6…
Wakati kilele cha tamasha la Simba Day kikihitimishwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , mashabiki mbalimbali wameonekana kulizwa kutokana na kuuziwa tiketi feki. Mmoja wa…