Tag: soka la bongo
SIRI IMEVUJA YANGA WAMUAGA RASMI MAYELE, MAMBO YAPO HIVI
Baada ya kukaa Yanga kwa misimu miwili, sasa ni rasmi, Fiston Mayele anaondoka nchini kwenda kujiunga na timu yake mpya, Uarabuni, wikiendi hii, huku...
LUIS MIQQUISSONE ATOA AHADI NZITO KWA SIMBA, HUKU AKIWAPA MKWARA HUU...
MARA baada ya kuripoti kambini na kushuhudia nyota wenzake wapya waliosajiliwa, kiungo wa Simba Luis Miqquissone ameibuka na kutamka kuwa msimu ujao kwa kuanza...
MIPANGO MIPYA YA GAMONDI HADHARANI, NABI ATAJWA
WAKATI watu wakiwa wanawaza Yanga ya msimu ujao itakuwaje basi fahamu kuwa kila kitu kimekamilika kwenye mipango mipya chini ya Kocha, Miguel Gamondi raia...
HUYO MRITHI WA MAYELE HATARI ZAIDI YA MIL 400, MSHAHARA WAKE...
IMEELEZWA kuwa, Klabu ya Yaoundé kutoka nchini Cameroon, imeweka ofa ya dola 165,000 (Sawa na Sh 402,375,600 za Kitanzania) ili wamuachie mshambuliaji wao, Emmanuel...
WALE WANAOBEZA KUREJEA KWA LUIS MIQUISSONE WATULIE KWANZA, VIGOGO SIMBA WAFUNGUKA
UONGOZI Simba, umeweka wazi kuwa, wale watu wanaobeza wao kumrejesha Luis Miquissone, watulie kwani watamshangilia huko mbeleni baada ya kushangazwa na uwezo atakaouonesha.
Winga huyo...
ALLY KAMWE ATOBOA SIRI INAYOMPA JEURI GAMONDI, MAXI, NZEGELI WATAJWA, ISHU...
HUKO ndani ya Yanga, unaambiwa mambo yameanza kuiva, hiyo ni kutokana na Kocha Miguel Angel Gamondi kutamba na timu yake hiyo haswa katika eneo...
ROBERTINHO ATAMBA KUHUSU MSIMU UJAO,… LUIS MIQUISSONE ATAJWA
SIMBA imeendelea kujifua nchini Uturuki kwaajili ya msimu mpya huku kocha mkuu wa kikosi hicho Roberto Oliveira akitamba kutisha zaidi msimu ujao.
Robertinho juzi alipata...
MORRISON HAPOI KUTOKA YANGA MPAKA NDONDO, ISHU IKO HIVI…MAKAOU NAE ATAJWA
Baada ya kuachwa na Yanga, winga wa zamani wa Simba, Benard Morrison amegoma kuondoka Tanzania na ameonekana akicheza mechi ya Ndondo kwenye Uwanja wa...
ROBERTINHO ACHARUKA UTURUKI, AMBEBESHA ZIGO ZITO NGOMA…. HUKU SKUDU AITEKA KAMBI...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KUMBE THANK YOU HAZIJAISHA HUKO SIMBA, HUYU HAPA WA KIMATAIFA NAE...
Simba SC huwenda wakamtema mchezaji mmoja wa Kimataifa kwani mpaka sasa idadi ya wachezaji wa kigeni waliowasajili imevuka kiwango kinachoelekezwa na TFF.
Sheria inasema, timu...