Tag: soka la bongo
KWANINI MSUVA ASAINI YANGA…… HIZI HAPA SABABU 5 ZA YEYE KUFANYA...
Faili la mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ambaye kwa sasa yupo nchini baada ya kumalizana na JS Kabylie ya Algeria, limetua kwa...
WAGOSI WA KAYA NAO HAWAKO NYUMA WAANZA HIVI KWENYE DIRISHA DOGO...
Nyota wa Mbuni, Salim Aiyee yupo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha dili la usajili la kujiunga na Coastal Union katika dirisha hili dogo...
MSEBIA ATUA MADEAMA
Zikiwa zimepita siku tano tangu Medeama kuachana na Kocha Evans Adotey, jana Desemba 27 imemtambulisha Msebiar, Nebojsa Kapor.
Medeama iliachana na Adotey baada ya kipigo...
YANGA WANATAKA KUPITA NA UPEPO WA MAPINDUZI CUP WAJA NA MWAMBA...
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameingia kambini leo Jumanne (Desemba 27) kuanza kujiwinda na mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi dhidi...
KOCHA ASEC: SANKARA AENDE YANGA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
BANDA SASA ANATAKIWA KUONGEA LUGHA MOJA NA MBRAZIL
Singida Fountain Gate, iko mbioni kukamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Simba, Peter Banda, huku kocha mkuu wa kikosi hicho Mbrazili Ricardo Ferreira akiachiwa...
YANGA HAINA KUPOA HAPA SANKARA, MSUVA HERSI AFANYA UNYAMA
Yanga inaendelea na hesabu za usajili kimyakimya ikitaka kuboresha kikosi kabla ya kurejea katika michuano mapema mwakani ikiwamo Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu...
SIMBA NA CHAMA SASA ISHU IKAE HIVI TU
Hakuna kitu kibaya kama kutoaminika kwenye maisha. Simba na Clatous Chama wamekuwa na ndoa ya muda mrefu, lakini hakuna anayemuamini mwenzake.
Ni kweli Chama bado...
BENCHIKHA SIO POA SASA NI VITA KAMILI
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha anapeleka kikosi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, inayotarajiwa kuanza kesho 28, huku kichwani akiwa na mambo...
MSEMAJI WA SIMBA AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUTAJWA FIFA
Klabu ya Simba SC imeweka wazi kuwa, timu yao itajipanga vyema kuvuna alama za kutosha katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2023/24,...