Tag: soka la bongo
MAMBO HAYA NDIO CHANZO CHA KIPIGO CHA SIMBA KWA MKAPA
Simba SC, juzi Jumapili ilikubali kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es...
HUYU HAPA NDIE ALIYESHIKA MIKOBA YA ROBERTINHO
Baada ya Simba kutoa Taarifa za kuachana na Kocha wake Mkuu Roberto Oliveira 'Robertinho, hatimaye Kocha Daniel Cadena ambaye amepewa majukumu ya muda kukinoa...
KWAPUA VIBUNDA NA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA LEO
Ligi ya Mabingwa Ulaya imerudi ambapo itapigwa leo hii na kesho, hivyo nafasi ya wewe kukwapua vibunda ipo wazi sana ambapo kwa dau lako...
CHAMA HALI SI HALI SIMBA MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU
Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chota Chama ameuanza msimu huu vibaya kwenye ligi kuu tofauti na misimu iliyopita akiwa ndani ya timu hiyo.
Takwimu zilizokusanywa...
KUTANA NA MBWA MWITU ANAELIPA ZAIDI MERIDIAN BET
Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya kukutana na wanyama wa...
TAKWIMU HIZI ZINASEMA DABI YA KARIAKOO ILICHEZWA KWA DAKIKA 50 TU
BADO Yanga inashangilia ushindi wake wa mabao 5-1, dhidi ya watani zao Simba wanaoumia kupewa kichapo hicho kikubwa ikiwa ni kama kisasi kwani mei...
MAXI, AZIZ KI WAIPONZA SIMBA, MILIONI 300 ZIMEPITA HIVI
Mastaa wa Simba juzi walipoteza Sh300Milioni mkononi baada ya kupoteza mechi dhidi ya Yanga.
Viongozi walikaa na wachezaji Jumamosi jioni kwenye kambi yao Jijini Dar...
UNAAMBIWA HII NDIO TIMU BORA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI
Yanga kwa sasa inakikosi bora zaidi kwenye ukanda wetu wa Africa Mashariki na kati, kinachovutia zaidi Kocha Gamondi amekutana na kikosi bora sana, Wachezaji...
NAMUNGO WAJIPANGE MBELE YA SIMBA …… SIO KWA HASIRA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu baada ya kipigo cha mabao 5-1...
5G YA YANGA YAMPONZA ROBERTINHO
KLABU ya Simba SC imetangaza kuachana na Kocha wake Mbrazil, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo 'Robertinho' (63) baada ya miezi 10 tu kazini tangu...