Tag: soka la bongo
NIYONZIMA NA YANGA MPAKA MAKUNDI CAF
Aliyekuwa kiungo wa Simba SC na Young Africans, Haruna Niyonzima ameutazama moto wa Young Africans mpya chini ya Muargentina, Miguel Gamondi na kutamka kuwa...
KUHUSU ISHU YA MASHABIKI KUSHINDWA KUANGALIA MECHI RWANDA, UONGOZI WA YANGA...
Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema, mashabiki wote watakaosafiri na mabasi kwenda Rwanda kwa ajili yua mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi...
GAMONDI : MECHI HII NI NGUMU ILA ITAFAHAMIKA HUKO HUKO
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amekiri mechi ijayo ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh ya Sudan ni ngumu, lakini amesema...
TUZO HII HAKUSTAHILI KUCHUKUA NZEGELI
0
Menu › Michezo › Mpira wa Miguu
Maxi Nzengeli hakustahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi - Mchambuzi
Fd Nzengeli Gamondi
Maxi Nzengeli hakustahili tuzo ya mchezaji...
AHMED ALLY AWEKA WAZI ISHU YA KIMATIFA
Wakiwa wanajiandaa kuivaa na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, uongozi wa Simba SC...
HIZI HAPA HESABU ZA SIMBA DHIDI YA POWER DYNAMOS
HUKU wakijiandaa kuvaana na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba umetangaza kuja...
KUHUSU HESHIMA YA SIMBA,BENCHI LA UFUNDI LIMEKUJA NA KAULI HII
Benchi la ufundi la Simba SC umetoa maagizo mapya kwa wachezaji wa klabu hiyo wakiongozwa na washambuliaji wao hatari, Luis Miquissone na Jean Baleke...
VIGOGO YANGA WAMWAGA PESA KWA MASTAA WAO
Uongozi wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa utaendelea kumwaga pesa za maana za bonus kwa wachezaji kwaajili ya kuhakikisha kuwa timu hiyo inafanya...
YANGA WAONYESHWA MWANGAZA WA USHINDI RWANDA
KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda ambaye amewahi kukipiga ndani ya timu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, amesema mbali na mapokezi makubwa ambayo kikosi...
YANGA YASHUSHA CHUMA KINGINE SIO POA, JOB, MWAMNYETO MATATANI
Wakati Yanga ikionekana kuwa na utajiri wa mabeki wa kati, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameongeza beki mwingine kwenye eneo hilo anayekwenda...