Tag: soka
MAXI NZEGELI AFANYA MAAJABU HAYA KIKOSINI SKUDU HAAMINI MACHO YAKE
Kiungo wa Yanga, Maxi Nzengeli amefanya mapinduzi ndani ya kikosi baada ya kumpindua kama utani Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ ambaye usajili na hata utambulisho wake...
HAPA SIMBA PALE YANGA HII NDIO LIGI YA REKODI SASA
Kama ambavyo ilikuwa msimu uliopita wa 2022/23, Wekundu wa Msimbazi wameendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa mara nyingine tena (2023/24) ndani ya...
MASTAA HAWA YANGA WAREJEA KIKOSINI
Nyota watatu wa Yanga wamerejea kikosini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kuivaa Azam FC, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu unaotarajiwa kuchezwa kwenye...
BALAA LA MAXI YANGA……MANULA,INONGA KUMEKUCHA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI HATAKI KUPOA YANGA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
UNATAKA KUISHUHUDIA SIMBA VS AL AHLY VIINGILIO HIVI HAPA
Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Al Ahly ya Misri wakisema kiingilio cha chini kuona mchezo huo kitakuwa ni sh 7,000 tu.
Msemaji...
KIONGOZI WA YANGA AFUNGUKA KUHUSU KUMFUKUZA ROBERTINHO
Makamu Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kama angekuwa kiongozi wa Simba SC basi tayari angekuwa amemtimu kocha wa Simba...
MARAIS HAWA KUISHUHUDIA SIMBA VS AL AHLY
Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula, amesema marais wa FIFA na CAF ni miongoni mwa watu mashuhuru watakaofika kushuhudia mchezo wao wa ufunguzi dhidi...
SAIDO ATANGAZA VITA, AKILI YOTE KWENYE KIATU SASA
Baada ya kufunga mabao mawili katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara mfululizo, straika wa Simba, Saido Ntibazonkiza amenogewa kufunga na sasa ameanza kuwaza...
PACOME,MUDA WAWEKA REKODI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo