Tag: soka
KOCHA IHEFU AFUNGUKA KILICHOWAPONZA
Kipigo cha bao 1-0 ilichopewa Ihefu kutoka kwa KMC ikiwa ni siku chache tu tangu iizime Yanga, kimemfanya kocha mkuu wa timu hiyo ya...
GAMONDI AGÒMA KUZUNGUMZIA MECHI ZA KIMATAIFA AFUNGUKA HAYA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema hataki kuongea lolote kuhusu mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, badala yake ameweka...
KAZI IMEANZA CAFCL WAPINZANI WA YANGA WAMTIMUA KOCHA WAO
Klabu ya CR Belouizdad ya nchini Algeria imethibitisha kumfuta kazi Kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo wa kikosi hicho...
HII HAPA MIEZI MIWILI YA UBABE YANGA
Umebaki muda usiozidi wiki moja ili itimie miezi miwili tangu msimu wa soka wa 2022/2023 uanze hapa nchini na tayari umeshuhudia msisimko na mvuto...
BAADA YA MIAKA 25 YANGA YAANDIKA TENA HISTORIA HII
Yanga imeondoa gundu la kushindwa kutinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa miaka 25 iliyopita baada ya kutinga kibabe kwa kuing'oa Al Merrikh...
MWAMBA HUYU HAPA KUTOKA CHIPOLOPOLO AIUNGA MKONO POWER DYNAMO DHIDI YA...
Gwiji wa Timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo' na TP Mazembe, kiungo fundi Rainford Kalaba ameiunga mkono Power Dynamos kuifunga Simba SC ya Tanzania...
AL MAREIKH WAJA NA MATOKEO YAO HAYA DHIDI YA YANGA
Kocha Mkuu wa Al Merrikh, Osama Nabieh amechimba mkwara mzito kuwa licha ya ubora wa kikosi cha Young Africans, wamejipanga kupindua meza na kutinga...
MWAMNYETO ATOBOA SIRI HII YA YANGA
Nahodha na Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Bakari Mwamnnyeto ameweka wazi kuwa wamekaa kikao cha wachezaji na kukubaliana kwa pamoja...
KWA HILI BALAA LA AZIZ KI MSIMU HUU KAZI IPO
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Aziz Stephanie Ki amesema kuwa kikosi cha timu hiyo msimu huu ni bora zaidi kuliko msimu uliopita kwani...
DAKTARI AANIKA KILA KITU KUHUSU AFYA YA KRAMO
Daktari wa Simba SC, Edwin Kagabo amesema nyota wa kikosi hicho, Aubin Kramo anaendelea vizuri na matibabu ya goti na kinachoendelea kwa sasa kwake...