Tag: soka
ROBERTINHO AFUNGUKA JINSI SIMBA WALIVYOBADILISHA MBINU KATIKA MCHEZO WA JANA, CHANZO...
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo 'Robertinho' raia wa Brazil amesema kuwa aliwabadilishia mbinu wapinzani wake Power Dynamos ya...
RAIS SAMIA ATOA NENO BAADA YA MUALIKO WA SIMBA DAY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewashukuru Simba SC kwa mwaliko wa kuhudhuria kilele cha Tamasha la "Simba Day" Agosti...
MASHABIKI SIMBA WAPIGWA NA KITU KIZITO SIMBA DAY
Wakati kilele cha tamasha la Simba Day kikihitimishwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , mashabiki mbalimbali wameonekana kulizwa kutokana na kuuziwa tiketi feki.
Mmoja wa...
ONANA AWAPAGAWISHA MASHABIKI MAPEMA SANA, NGOMA NAE AFUATA NYAYO
MABAO mawili ya Simba yaliyofungwa na Willy Onana na Fabrice Ngoma yametosha kufuta uteja kwa Simba kushindwa kupata matokeo mbele ya marais wa nchi...
RAISI SAMIA AWAKOSHA WADAU WA MICHEZO SIMBA DAY, AFUNGUKA KUHUSU GOLI...
MGENI RASMI wa tamasha la Simba Day Rais Dk Samia Suluhu Hassan amesema ahadi yake iko pale pale ya kununua kila bao kwenye timu...
SIMBA HII SASA SIFA, WASHUSHA MAKIPA HAWA WAWILI SIO POA
Mabosi wa Simba wajanja sana, wakati leo ni Simba Day, wenyewe wamepanga kuwafanya sapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwatambulisha makipa wawili wapya akiwamo...
MASTAA YANGA WAMVURUGA GAMONDI ISHU IKO HIVI
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ana kazi kubwa ya kufanya kutokana na vita kali iliyopo kwenye eneo la kiungo mshambuliaji kati ya Stephane...
HUKO SIMBA UNYAMA UNYAMA, HISTORIA MPYA IMEANDIKWA
“Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi.”
Hii ni taarifa fupi ambayo...
KOCHA WA SINGIDA FOUNTAIN GATE AITAMBIA SIMBA, KAZI IPO HUKO TANGA
Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Van Pluijm amesema ameridhishwa na kiwango cha wachezaji wake na sasa wapo tayari kuikabili Simba SC kwenye...
SIMBA DAY YAWANG’ARISHA MASTAA HAWA
Baada ya Yanga kuhitimisha ‘Kilele cha wiki ya Mwananchi’, sasa ni zamu ya wapinzani wao Simba nao pia kuja na tamasha la ‘Simba Wiki...