Home Tags Soka

Tag: soka

MAJANGA HAFIZ KONKANI AGOMA KUVAA VIATU VYA MAYELE, ISHU IKO HIVI

0
Mshambuliaji mpya wa Klabu ya Yanga, Hafizi Konkoni amesema kuwa amekuja Yanga kuwatumikia Wananchi na si kuvaa viatu vya aliyekuwa mshabuliaji kwa timu hiyo...

KIPA MBRAZILI KATEMA BUNGO BWANA, AMESHAPEWA MKONO WA KWAHERI, MWAMBA HUYU...

0
KIPA Mbrazili Jefferson Luis amechemka mazima na ameshapewa mkono wa kwaheri Msimbazi. Kama mambo yatakwenda kama yalivyosetiwa pale langoni kinatua tena chuma kutoka Bara...

KAULI YA MPIRA PESA YAZUA KIZAZAA SIMBA, YANGA, ISHU IKO HIVI

0
KAULI ya Mpira ni Pesa ndio unaweza kuitumia kuelezea namna Simba na Yanga zinavyoonyesha dalili ya kutamba tena msimu ujao wa 2023/2024 kutokana na...

ROBERTINHO AFUNGUKA MBINU ALIZOWAPA WACHEZAJI WA SIMBA

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefurahishwa na wachezaji wake wapya waliowasajili kikosini hapo akiwemo Luis Miquissone akibainisha kwamba, wamefiti haraka katika...

MAYELE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUONDOKA YANGA

0
Aliyekuwa Mshambuliaji kinara wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Fiston Kalala Mayele amesema anaamini siku moja atarudi tena kuitumikia timu hiyo kutokana...

MAYELE AWAACHIA MSALA MZITO MAXI, SKUDU YANGA

0
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya ndani katika msimu ujao...

KIBEGI CHA SIMBA CHAINGIZA KIASI HIKI CHA PESA

0
Klabu ya Simba imefanya mnada wa KIBEGI kilichokwea kileleni mlima Kilimanjaro pamoja na jezi zilizokuwa na majina ya Viongozi ambao ni Rais Dkt. Samia...

SABABU ZA SIMBA KUACHANA NA KIPA WAO MBRAZILI ZAWEKWA WAZI

0
BENCHI la ufundi la Simba lilitarajiwa kukutana usiku wa jana mara baada ya mechi ya mwisho iliyopigwa jioni dhidi ya Batman Petrolspor A.S ili...

DIARRA YANGA MAMBO YAZIDI KUNOGA, ALAMBA DILI HILI LA KIBABE

0
KIPA wa Yanga Djigui Diarra ametakiwa kupunguza kujiamini zaidi awapo langoni jambo linaloweza kumtoa mchezoni na kujikuta akiisababishia timu yake matatizo. Diarra kipa bora msimu...

KIBADENI ASEMA HAYA KWA ANAYETAKA KUPIGA HAT TRICK SIMBA, YANGA

0
Abdallah Athumani Seif 'King Abdallah Kibadeni Mputa' nyota wa zamani wa Simba ndiye mchezaji pekee aliyefunga 'hat trick' katika Kariakoo Derby, akifanya hivyo katika...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS