Tag: usajili
KWA MPANZU SIMBA HALAUMIWI.
KLABU YA SIMBA ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari wa AS Vita, Elie Mpanzu lakini kuna wakati jitihada huwa hazizai matunda na ndicho...
YACOUBA ARUDI TENA TANZANIA…AAHIDI MAKUBWA
NYOTA wa zamani wa Yanga na Ihefu (sasa Singida Black Stars), Yacouba Songne amerejea Bongo akisaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Tabora United inayoshiriki...
LAMECK LAWI AANZA KAZI UBELGIJI…SIMBA WAIKWIDA COASTAL
BAADA ya Kamati ya Usuluhishi ya Tff kutoa maelekezo Simba na Coastal Union kukaa chini na kumalizana kwa kutumia busara, na Jana Julai 27...
ELIE MPANZU AFUNGUKA KUHUSU SIMBA…AITAJA KRC GENK
BAADA ya Simba kurudi kwa mara ya tatu kujaribu kuinasa saini ya Winga wa AS Vita Elie Mpanzu, lakini bado mambo yameonekana kuwa magumu...
AHMED ALLY AFUNGUKA DILI LA MPANZU LILIPOFIKIA
MENEJA wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amevunja ukimya na kukiri kuwa wamerudi kwa mara nyingine zaidi kuinasa saini ya...
SIMBA YAHAMIA KWA MOUSSA CAMARA…MRITHI WA LAKRED
MNYAMA yupo kwenye mazungumzo na Horoya FC ya nchini Guinea kwa ajili ya kumsajili golikipa wa timu hiyo Moussa Camara anayeichezea pia timu ya...
SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU
BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa...
WAKALA WA MPANZU AFUNGUKA KILICHOKWAMISHA…USAJILI WA MTEJA WAKE SIMBA
BAADA YA Dili la Kuinasa saini ya Winga wa AS Vita Ellie Mpanzu kugonga mwamba katika mita ya Msimbazi, Wakalawa mchezaji huyo Raia wa...
MENEJA WA KIBU DENIS AELEZA ALIPO MCHEZAJI WAKE
IKIWA Sintofahamu juu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri, Meneja na Msimamizi wa nyota huyo, Carlos Mastermind amesema nyota na...
MSIKIE PACOME ZOUZOUA KUHUSU USAJILI WA YANGA.
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua amezungumza usajili mpya wa kikosi hicho, huku akitoa msimamo wake, kwa Kuwataja Jean Baleke, Prince Dube na Clatous Chama...