Tag: usajili
MIKATABA MIBOVU INAVYOWATESA YANGA..INSHU YA FEISALI NA OKRAH
Baada ya Yanga SC kufungiwa na FIFA kutosajili wiki iliyopita, naona lawama nyingi zinaenda kwenye mikataba yao.
Wapo wanaodai kwamba wana mikataba mibovu hivyo eneo...
ISHU YA MANULA KWENDA AZAM FC..IKO HIVI
ZA NDAANI Kutoka Simba ni kwamba, Mchezaji Aishi Manula amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na Simba SC, Lakini yeyé yupo tayari kuondoka klabuni kwenye...
YANGA YAMUONGEZA MIWILI DIARRA…NA MSHAHARA MNONO.
MLINDA MLANGO NAMBA MOJA WA Yanga, Djigui Diarra raia wa Mali, ameongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia wananchi kwa misimu mawili ijayo.
Diarra ambaye alisajiliwa na...
KISA YANGA MAMELODI..YAMTIMUA MOKWENA…NA WACHEZAJI 4
INAELEZWA Kwamba kiwango kibovu ilichokionyesha Mamelodi Sundowns msimu uliopita ikiwemo kushindwa kufurukuta mbele ya Yanga katika mechi mbili timu hizo zilipokutana kwenye robo fainali...
SIMBA YAMUACHA AUBIN KRAMO…SABABU ZATAJWA
KLABU ya Simba SC imepanga kumtoa kwa mkopo au kumuacha moja kwa moja winga wao wa Kimataifa wa Ivory Coast Aubin Kramo.
Uongozi wa Simba...
MAPYA YAIBUKA SAKATA LA CLATOUS CHAMA…HAPOKEI SIMU ZA YANGA
TAARIFA kutoka chanzo cha kuaminika Simba SC, kinaeleza kwamba Sakata la Clatous Chama kujiunga na Yanga bado ngoma ni mbichi, kwa sababu Chama hajafurahishwa...
ALI KAMWE AJIBU CHAMA KUTAMBULISHWA BILA JEZI…MASHABIKI WAJA NA KEKI
AFISA Habari wa Yanga Ali Kamwe amezungumzia namna walivyomtambulisha aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chama, baada ya kukamilisha usajili huo waliokuwa wanautamani kwa...
MZEE WA KALIUA OSCAR: WATU WATAKULA SANA 5G…YANGA YA CHAMA NA...
KILA unapovuta picha ya uwepo wa Clatous Chama, Maxi Nzengeli, Stephen Aziz KI, Prince Dube na Pacome Zouzoua unachoona ni ushindi tu.
Unachoona kingine ni...
BREAKING NEWS…SIMBA YAMTAMBULISHA STRIKA WA MAGOLI…REKODI ZAKE USIPIME
NI RASMI Klabu ya Simba Imemtambulisha mshambuliaji Steve Mukwala Dese, Raia wa Uganda kwa mkataba wa miaka mitatu, akitokea klabu ya Asante Kotoko ya...
FARID MUSSA AONGEZA MIWILI YANGA…KUMPA CHAMA JEZI NAMBA 17?
Yanga SC imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili Nyota wa Kitanzania Farid Mussa Malick utakaomalizika mwaka 2026.
Nyota huyo ni moja ya nyota waandamizi wa...