Tag: usajili
ORLANDO PIRATES WAPIGWA KO NA SIMBA…MCHEZAJI WAMEPITA NAE
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini inadaiwa kumshawishi kiungo Augustine Okejepha ajiunge nao akitokea klabu ya Rivers United ya Nigeria.
Hata hivyo Pirates wameambulia...
TSHABALALA ASHUSHIWA MPINZANI WAKE…VALENTINO NOUMA
Baada ya miaka zaidi ya sita kupita uongozi wa Simba umefanya uamuzi mgumu kwa kusajili beki wa kushoto mgeni wakinasa saini ya Valentino Nouma...
KOCHA MPYA AZUIA KAMBI YA SIMBA…KUANZA RASMI J3
RATIBA ya Simba kwa wachezaji kuanza kuripoti kambini kabla ya kusafiri kwenda Misri ilitakiwa kuanza Juni 27, kabla ya kikao cha leo cha wachezaji...
THANK YOU ZAONGEZEKA SIMBA…MAJEMBE MAWILI YATEMWA
SIMBA INAPITISHA panga kila kona, katika kuhakikisha wanakuwa na timu imara msimu ujao, Simba Queens imetoa Thank You kwa wachezaji wake wawili wa kimataifa.
Mabingwa...
GUEDE, MUSONDA KUMPISHA SOWAH…INJINIA HERSI ASIMAMIA SHOW
YANGA ipo kwenye mazungumzo ya kumpata mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Al-Nasr Benghazi ya Libya aliyojiunga nayo...
OKWI AWAPA MTU WA MAANA SIMBA…STEVE MUKWALA DEAL DONE
STAA wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi amehusika kwa kiasi kikubwa kumshawishi, Straika Mganda Steven Dese Mukwala (24) asaini Msimbazi.
Mukwala huenda akatambulishwa...
SIMBA YAPORWA MCHEZAJI KWEUPE…ATAMBULISHWA AL HILAL
KAMA Tulivyoripoti Juni 19 mwaka huu kuwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan imeingilia dili la Kiungo wa Asec Mimosas Serge Pokou, sasa ni...
MASHABIKI WA SIMBA & YANGA WAMKALIA KOONI CHAMA
WAKATI wachambuzi na waandishi wa habari za michezo wakiendelea kutoa taarifa kuhusu hatma ya Clatous Chama Simba, mashabiki wa Simba na Yanga nao hawapo...
MAJEMBE 11 YANAYOTUA SIMBA…KILA KITU KIPO TAYARI
KLABU ya Simba imeendelea kutamba sana kwenye habari za usajili tangu kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili, kila mchezaji anahusishwa na miamba hii ya...
GAMONDI ATUMA UJUMBE KWA CHAMA & DUBE…INJINIA HERSI ATIA MKAZO
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe kwa viongozi na wachezaji bila kujali wale wapya ambao wanatajwa kusajiliwa Prince Dube, kiungo Clatous Chama kila...