Tag: usajili
JULIO ATIA NENO SAKATA LA CHAMA…ATOA MIFANO YA MIAKA YA NYUMA
Jamhuri Kiwelu Julio ameingilia kati sakata la mchezaji wa Simba Clatous Chama ambaye inasemekana amekataa kuongeza mkataba mpya kwa madai ya kuongezewa stahiki zake.
Chama...
SIMBA YAPIGA PESA ZA WAARABU DILI LA INONGA.
UONGOZI wa Simba SC umetangaza kuachana na mchezaji wao Kitasa Henock Inonga ambaye atajiunga na AS Far Rabat ya nchini Morocco.
Simbe jioni ya Juni...
AYOUB LYANGA AIBUKIA SIMBA…ASINYA MIWILI
BAADA ya Klabu ya Azam FC kutoa Thank You kwa wachezaji wake wanne ambao walikua wanaitumikia klabu hiyo msimu uliomalizika na wengine walikua kwa...
SIMBA YAHAMISHIA NGUVU KWA KIUNGO…MAGORI ASIMAMIA SHOW NZIMA
FAGIO la chuma limeendelea kupitishwa katika klabu ya Simba, mabosi wa klabu hiyo wapo bize kuingiza majembe mapya, kwani baada ya beki Lameck Lawi,...
DUBE AMALIZANA NA AZAM FC…ML 500 ZAMPELEKA YANGA
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa AZAM FC Prince Dube ameilipa klabu yake ya zamani Shilingi Milion 500 na sasa yuko huru kujiunga na Yanga ambayo imekuwa...
USAJILI WA SAIDO WAPAMBA MOTO…KUTUA TIMU MOJA KUBWA HAPA NCHINI
SAA chache baada ya kutemwa na Simba, kiungo Saido Ntibazonkiza amepigiwa simu na moja ya vigogo wa juu wa Namungo akitaka huduma yake kwa...
SIMBA WAJIBU MAPIGO USAJILI WA LAWI…MAGORI AFUNGUKA KILA KITU
BAADA ya Wagosi wa Kaya Coastal Union kukanusha habari za mchezaji wao Lameck Lawi kusajiliwa na Simba SC, wakisem kwamba hawatambui mkataba wa Simba...
COASTAL UNION WAINGILIA KATI USAJILI WA LAWI…SIMBA HAWAKUFUATA TARATIBU.
NI MASAA MACHACHE tu Tangu utambulisho wa beki wa kati kutoka Coastal Union Lameck Lawi kufanyika kwenye klabu ya Simba, lakini tayari Uongozi wa...
MAGORI AZIDI KUFANYA UMAFIA ZAMBIA…AWAFICHA NYOTA WAWILI WA ZECO UTD
MABOSI wa Simba hawataki mchezo kabisa, wanachokifanya kwa sasa ni kuhakiisha wachezaji wanaowasjili wanasifa za kuitwa timu zao za Taifa, pia huko Zambia masta...
USAJILI WA KAPUMBU SIMBA…AHEMD ALLY ATOA KAULI
KLABU ya Simba imekamilisha dili la kiungo wa Zesco United ya Zambia, Kelvin Kapumbu kutua ndani ya kikosi cha wekundu wa Msimbazi hao kwa...