Home Tags Usajili

Tag: usajili

BAADA YA MKUDE KUTUA RASMI YANGA…. HUYU NDIE ANAEFUATA

0
Nahodha wa AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia amewasili nchini wa leo Julai 12, 2023 kukamilisha dili la kujiunga na mabingwa watetezi...

BAADA YA SIMBA KUMTEMA MKUDE KOCHA WA YANGA KUAMUA JAMBO HILI

0
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi...

YANGA WASHINDWA KUMZUIA MAYELE, ATIMKIA TIMU HII USAJILI WAKE KUFURU

0
Baada ya juhudi za kumshawishi kuendelea kuitumikia timu yao kukwama, uongozi wa Klabu ya Young Africans, umefikia makubaliano ya pamoja kumweka sokoni Mshambuliaji wao...

SIMBA SC HATUJAMALIZA ZOEZI LA USAJILI, VYUMA VINGINE HIVI HAPA

0
Pamoja na kutangaza wachezaji watatu mpaka sasa, klabu ya Simba SC imesema bado haijamaliza zoezi la usajili, huku ikitangaza nafasi tatu hadi nne ambazo...

BEKI MPYA WA SIMBA AFUNGUKA KILICHOMSHAWISHI KUJIUNGA NA KLABU HIYO

0
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC akitokea Coton Sports ya Cameroon, beki Che Malone Fondoh amefunguka akisema amekuja kwa ajili...

HIZI OFA TATU ZILIZOPO MEZANI KWA YANGA KWAAJILI YA MAYELE, HII...

0
MASHABIKI na wapenzi wa Yanga wamekaa mkao wa kula kusikilizia hatma ya straika na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita na Kombe...

SIMBA YAFANYA MAGEUZI NDANI YA WIKI TATU,…. ROBERTINHO ATAMBA

1
Dar es Salaam. Simba imemtambulisha Che Fondoh Malone ikiwa ni hatua za mwisho kumalizia utambulisho wa wachezaji iliowasajili, huku ikiondoka leo kwenda Uturuki itakapoweka...

USAJILI WA SIMBA WAITISHA YANGA, ALLY KAMWE AJITETEA

0
Usajili ambao unazidi kufanywa na Simba SC umewaibu Young Africans huku wao wakiweka wazi kuwa wala hawatishiki, na badala yake wao wanajikita zaidi na...

BAADA YA PIRIKAPIRIKA ZA USAJALI KUPAMBA MOTO MOSES PHIRI AFUNGUKA HAYA...

0
Usajili mzito ambao unaendelea kufanywa na mabosi wa Simba SC umemuibua Mshambuliaji wa klabu hiyo kutoka Zambia Moses Phiri ambaye ameweka wazi kuwa kikosi...

SIMBA YAPANGA KUFANYA UTAMBULISHO WAKE HUU WA MWISHO, SIO POA NCHI...

0
Imefahamika kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umepanga kumtambulisha kiungo wao mpya kutoka DR Congo, Fabrice Luamba Ngoma kama mchezaji wa mwisho kutokana na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS