Tag: usajili
NGOMA BADO MBICHI TFF…SIMBA VS COASTAL UNION…MJUMBE MMOJA ATIMULIWA KWENYE KIKAO
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Said Soud ametolewa nje baada ya mwanasheria upande wa...
YANGA YANASA BEKI MKENYA…YATANGAZA VITA KWA WATANI ZAO SIMBA
KLABU YA YANGA inaendelea kushusha vyuma na safari hii imetua kwa beki wa kati raia wa Kenya, Anitha Adongo kwa ajili ya msimu ujao.
Hadi...
DIARRA NA WENZAKE WATISHIA KUJIONDOA MALI KISA TRORE
BAADA ya Maamuzi ya kusimamishwa nahodha wa timu ya Taifa Mali, Hamari TraorΓ© wachezaji wenzake akiwemo Kipa wa Yanga Djigui Diarra wametishia kujiondoa kwa...
SIMBA YASAJILI MCHEZAJI WA AZAM FC…ANAJUA BALAA
UONGOZI wa Klabu ya Simba unaendelea kuimarisha kikosi chao hii ni baada ya kukamilisha usajili wa kinda kutoka timu ya vijana chini ya miaka...
SUALA LA MANULA NGOMA NGUMU SIMBA
BADO kesho ya golikipa Aishi Manula haieleweki ndani ya Simba Kwa kuwa mpaka Sasa hajaungana na wenzake Pre- Season inayoendelea Misri.
Taarifa zinadai kuwa, ni...
BREAKING NEWS…SIMBA YAMTAMBULISHA KELVIN KIJIRI…ACHUKUA NAFASI YA MWENDA & KAPOMBE
UONGOZI WA SIMBA Umethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kulia, Kelvin Kijiri kutoka Klabu ya Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka 2.
Kijiri (24)...
KANOUTE ANUKIA ZAIDI JS KABYLE YA BENCHIKA
KIUNGO mkabaji aliyetemwa na Simba hivi karibuni, Sadio Kanoute 'Putin' yupo mbioni kutua klabu ya Ligi Kuu ya Algeria, JS Kabylie.
Inadaiwa kuwa, Kocha Abdelhak...
ALIYEWAI KUPITA SIMBA APATA CHIMO JIPYA…HATMA YAKE BADO HAIJULIKANI
MASTAA mbalimbali wa Ligi Kuu Bara wakiwamo nyota wa zamani wa Simba na Yanga, akiwamo Shaaban Idd Chilunda na Waziri Junior wameonekana kupata chimbo...
FRIJI LA BALEKE HALIGANDISHI…AJITAMBULISHA YANGA
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Jean Baleke ambaye alikuwa kwa mkopo kunako klabu ya Al Ittihad ya Libya amethibitisha kujiunga na Young Africans Sc kama...
MKENYA DUKE ABUYA ATUA YANGA NA MKWARA MZITO
MASHINE ya Kusaga na Kukoboa Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa...