Home Tags Usajili

Tag: usajili

SIMBA YAPIGWA KO NA JKT TANZANIA…MWAMBA AKUBALI

0
JKT Tanzania imeendelea kuimarisha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ambapo inaelezwa imemalizana na beki wa kati, Abdulrahim Seif Bausi aliyekuwa...

COASTAL UNION YAZIDI KUWEKA MSIMAMO…YAMUITA KAMBINI LAMECK LAWI

0
Coastal Union imeendelea kuikazia Simba kwa kumng’ang’ania beki wao wa kati Lameck Lawi, ambaye hapo awali walikubaliana kumuuza kwa Wekundu hao kabla ya kubadili...

KOCHA WA SIMBA KUIBUKIA MAMELODI…APISHANA NA FADLU DAVIDS

0
BAADA ya kukwama kujiunga na Klabu ya Simba, Kocha Steve Komphela ametua Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Komphela ataungana na Monqoba Mngqithi kukikonoa kikosi hicho...

SIMBA YASHUSHA MKATA UMEME…TAKWIMU ZAKE ZA MOTO

0
KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Augustine Okejepha, 20, akitokea Rivers United ya Nigeria. Kiungo huyo raia wa Nigeria, anajiunga na Simba kipindi...

ALIYETAMBULISHWA SIMBA AZUA BALAA ZITO…VALENTINO MASHAKA

0
Wakati Geita Gold ikiijia juu Simba kumtambulisha mchezaji Valentino Mashaka ikidai hawakufuata utaratibu kwa madai bado ni mali yao, nyota huyo ameiruka timu hiyo...

YALIYOJIRI DUA YA YANGA JANGWANI..HERSI AONGOZA MAMIA KUMUOMBEA MANJI

0
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said ameongoza dua maalumu ya kumuombea aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu hiyo, Yusuf Manji ambaye alifariki na kuzikwa...

YANGA YATUA KA MKATA UMEME…ANATOKA DR CONGO

0
Klabu ya Yanga iko mbioni kumshusha nchini mkata umeme kutoka DR Congo, Onoya Sangana Charve, anayeichezea Klabu ya AS Maniema, ili kuongeza nguvu kwenye...

SABABU ZA KUCHELEWA UTAMBULISH WA BEKI WA YANGA..CHADRACK BOKA

0
BEKI WA KUSHOTO fundi kabisa Chadrack Boka (24) ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 2024|25. Chadrack Boka amesaini mkataba wa miaka miwili na...

SIMBA YACHUKUA MWINGINE IVORY COAST…CHAMOU KARABOUE…PIA YATAMBULISHA TEKA LA MAGOLI

0
KLABU YA SIMBA Simba wamefikia makubaliano na Racing Club Abidjan ya Ivory Coast kwa ajili ya kupata huduma ya beki wa kati, Chamou Karaboue,...

RAJA CASABLANCA IPO SIMBA..FADLU DAVIDS KOCHA MPYA ANAYETAMBA NA MIFUMO HII

0
Ni kama Raja imehamia Msimbazi kwani ukiachana na kocha mkuu wa wakali hao wa Morocco, Inaelezwa kwamba Fadlu Davids anayepewa nafasi kubwa zaidi kujiunga...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS