Tag: usajili
LAMECK LAWI HUYOO ULAYA…SIMBA YAKUBALI YAISHE
LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na...
AHMED ALLY AFUNGUKA SAKATA LA AISHI MANULA KWENDA AZAM FC.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally ameweka wazi hatma ya mlinda mlango wao mzawa Aishi Manula ambaye anahusishwa...
SAFARI YA ABDULRAZACK HAMZA KUTOKA AFRIKA KUSINI…HADI SIMBA
UONGOZI wa Klabu ya Simba Julai 4 jana ulitangaza usajili wa beki wa kati Abdulrazack Hamza kutoka Super Sport ya Afrika Kusini kwa mkataba...
JEAN BALEKE ANUKIA ZAIDI YANGA…GUEDE APEWA THANK YOU
HUENDA Hizi zikawa ni taarifa za kushtukiza kwa mashabiki wa soka nchini, kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube...
AHMED ALLY ATEMA CHECHE USAJILI WA AHOUA…KUHUSU HATMA YA JOBE AWEKA...
AFISA HABARI wa Simba Ahmed Ally amesema kwamba usajili wa MVP wa Ivory Coast ulikuwa na vita kubwa sana, lakini pia ameweka wazi juu...
FABRICE NGOMA ASHINDWA KUJIUZUIA…AUCHO AMTABIRIA MAKUBWA MUKWALA
KIUNGO wa Simba Fabrice Ngoma ameshindwa kujizuia na kufunguka kuwa kwa aina ya wachezaji wanaotua Msimbazi anaona kabisa msimu ujao Wekundu hao wakirejesha mataji...
YAMEFICHUKA…ZILE 5-1 ZILIMPONZA CHAMA SIMBA
BAADA ya muda mrefu wa kuhusishwa kwa muda mrefu kusajiliwa na Yanga, hatimaye mapema Jumatatu, wiki hii Clatous Chama alitambulishwa rasmi na klabu hiyo...
JEAN AHOUA KUPEWA JEZI NAMBA 17…TAKWIMU ZAKE ZIKO HIVI.
KLABU ya Simba imefikia makubaliano ya kumsajili aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Stella Adjame ya Ivory Coast, Jean Charles Ahoua kwa kandarasi ya miaka miwili.
Nyota...
ALI KAMWE AWAPIGA DONGO SIMBA…USAJILI WA JOSHUA MUTALE
Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amesema kuwa usajili wanaoufanya watani zao wa jadi, Simba SC ni wa kawaida...
MMEMSIKIA HUKU AHMED ALLY…AKIMCHAMBUA MUTALE
Baada ya usajili wa Joshua Mutale Semaji la CAF, Ahmed Ally ametamba kuwa mabeki wa timu pinzani kwenye ligi na kimataifa wajipange kwa ubora...