Home Tags YANGA

Tag: YANGA

FEI TOTO KUREJEA JANGWANI…YANGA TUMBO JOTO…MASTAA MATATANI

0
Yao kouassi, maarufu kama jeshi alianza kupona lakini inaelezwa amepata majanga mengine eneo alioumia linaweza kukaa njee kwa muda zaidi. Yanga ina subiri repoti ya madaktari...

GAMONDI ANAPIGA HESABU ZAKE KWA AKILI KUBWA

0
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara. Ipo...

MOHAMED ZOUGRANA TISHIO KWA YANGA

0
Baada ya kupangwa kwa droo ya Ligi ya Mabingwa na Yanga kujua watakutana na nani na nani katika hatua ya makundi, basi moja ya...

YANGA YAPANGWA NA MAZEMBE…BENCHIKA NDANI

0
ILISUBIRIWA SANA, hatimaye leo imewadia baada ya droo ya CAF ligi ya mabingwa Afrika kuchezeshwa rasmi. Yanga ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano...

FADLU APATA UBARIDI KARIAKOO DABI

0
KOCHA MKUU wa Simba SC Fadlu Davids ameonesha kupatwa na hofu, kuelekea mchezo wa Kariakoo dabi dhidi ya watani zao Yanga. Fadlu ameonesha hali hiyo...

SIMBA YAAMBULIA MEDALI…YANGA YASHINDWA KUTWAA NDOO

0
Timu ya wanawake ya Simba SC, Simba Queens imefanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada kuichakaza bila huruma magoli manne bila majibu timu ya CEASIAA...

YANGA YATUMA SALAM KWA KINO BOYS

0
UONGOZI wa Yanga umewaingiza kwenye mtego wapinzani wao KMC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kwa kuwaambia...

YACOUBA ARUDI TENA TANZANIA…AAHIDI MAKUBWA

0
NYOTA wa zamani wa Yanga na Ihefu (sasa Singida Black Stars), Yacouba Songne amerejea Bongo akisaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Tabora United inayoshiriki...

SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU

0
BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa...

KOCHA WA AUGSBURG AICHAMBUA YANGA…ATAJA MASTAA.

0
WAKATI Kocha Mkuu wa Augsburg, Jess Thorup, inayocheza Ligi Kuu ya Ujerumani Bundlesliga, akiimwagia sifa Yanga kutokana na kiwango ilichoonyesha katika mechi ya juzi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS