YANGA SASA AKILI YOTE KWASIMBA, MAANDALIZI YAKE SIO POA
Baada ya kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii, kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi kuelekea fainali. Dakika 90 Yanga ilikamilisha…
Baada ya kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii, kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi kuelekea fainali. Dakika 90 Yanga ilikamilisha…
Aliekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Pyramids FC ya nchini Misri amewapiga kijembe Azam baada ya kupokea kichapo…
Achana na Skudu Makudubela, Max Nzengeli, Attohoula Yao, Clement Mzize, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahaya wameupiga mwingi sana. Yanga wana Timu ya kutetea mataji yao, Yanga…
Mtendaji Mkuu wa Yanga Andrew Mtine amewajibu wale wote waliokuwa wanachukulia poa timu ya Yanga kufanya Maandalizi yao ya Msimu ndani ya nchi na sio…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondia amesema kuwa walistahili kupata ushindi dhidi ya Azam FC kutokana na kikosi chake kuwa bora kwenye kila eneo. Gamondi…
Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limethibitisha kupokea vibali vya wachezaji wa Kigeni wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, ikiwa ni saa chache baada…
Wakati Yanga ikijindaa kuwavaa Azam FC leo Uwanaja wa Mkwakwani Jijini Tanga katika michezo ya mtoano kuwania Ngao ya Jamii. Kocha Mkuu Yanga, Miguel Gamondi…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amemuangalia mshambuliaji wake mpya, Hafiz Konkoni na kutamka kwamba, nyota huyo atakuwa tishio msimu wa 2023/24. Konkoni amesajiliwa…
Klabu ya Simba SC itamkosa kiungo wake, Clatous Chama kwenye michezo ya ngao ya jamii dhidi ya Singida Fountain Gate kesho Alhamisi, Agosti 10, 20230…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amesema huwa akimwangalia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Stephanie Aziz KI huwa anajikuta anamshukuru kwa jinsi alivyowaokoa…