IMEFICHUKA!!!….MAYELE KUTWAA KIATU CHA DHAHABU…KOMBE LA SHIRIKISHO
Afisa Habarai wa Klabu ya Yanga, Alikamwe amesema kuwa Mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele amewaambia wachezaji wenzake wamsaidie kupata kiatu cha dhahabu cha ufungaji…
Afisa Habarai wa Klabu ya Yanga, Alikamwe amesema kuwa Mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele amewaambia wachezaji wenzake wamsaidie kupata kiatu cha dhahabu cha ufungaji…
Beki wa Kati wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ amesema ubora wa safu ya ulinzi wa kikosi chao ndio siri…
Nyota Simba SC Jean Baleke na Fiston Mayele anayekipiga Young Africans, wamepewa nafasi kubwa ya kuzibeba timu zao kufanya vizuri katika michezo wa Mkondo wa…
Nimeweka rekodi! hii ni kauli ya kinara wa upachikaji wa mabao Kombe la Shirikisho Afrika (5) na Ligi Kuu Bara (16), Fiston Mayele ambaye amefanikiwa…
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amekiri kuwa ubora wa kikosi cha Yanga unamnyima usingizi kuelekea mechi mbili ambazo wanatarajia kucheza hivi karibuni.…
Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema timu yao ilibadili mfumo ndiyo maana wakafanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United ya Nigeria.…
Kocha msaidizi wa Yanga SC, Cedric Kaze amefichua kuwa sababu iliyowafanya benchi la ufundi kutomtumia winga Benard Morrison kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa hakuna timu ya kuizuia Yanga kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwani timu…
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said pamoja na Uongozi wake wamevutiwa na kiwango bora cha beki wa kati Ibrahim Bacca anachoendelea kukionyesha kila anapopata nafasi,…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohamed Nabi amesema kuwa mchezo wao dhidi ya wapinzani wao, Rivers United ya Nigeria haujamalizika kwani bado kuna dakika nyingine…