Habari za Yanga
Habari za michezo

YANGA WAMUONGEZEA MPUNGA BEKI WAO HUYU…NI BAADA YA KUWAONYESHA MAAJABU

Marce Ben Komba April 24, 2023 4:43 pm

Rais wa Yanga Eng. Hersi Said pamoja na Uongozi wake wamevutiwa na kiwango bora cha beki wa kati Ibrahim Bacca anachoendelea kukionyesha kila anapopata nafasi, hivyo klabu imeamua kufanya mazungumzo nae ya kuboresha Mkataba wake na malipo juu zaidi.

Kocha wa Yanga ameoneshwa kukoshwa na kiwango cha mlinzi huyo na anaamini atakuwa mchezaji muhimu kikosini.

HUYU HAPA MTALAKA WA ACHRAF HAKIMI…MFAHAMU KIUNDANI ZAIDI YALIYOMKUTA ACHRAF HAKIMI…YAMNYEMELEA C.RONALDO…ISHU NZIMA IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply