DUBE WA AZAM APOKEA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA
Mshambuliaji mpya wa Azam FC anaetokea nchini Zimbabwe Prince Dube, akipokea tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL)...
KOCHA SIMBA ATAJA MATATIZO MAWILI YANAYOKITESA KIKOSI HICHO
JAMHURI Khwelo aliyewahi kuwa kocha wa timu hiyo amesema kuwa kikosi cha Simba kina matatizo makubwa mawili ambayo yanakisumbua kwa sasa jambo ambalo linawafanya...
BIASHARA UNITED V YANGA, NGOMA NI NZITO, CHEKI REKODI ZAO
IKIWA imepanda Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19 Biashara United leo inakutana na Yanga mara ya tano uwanjani huku rekodi zikiwa ngumu kwa Yanga kupata...
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 31
LEO Oktoba 31 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi ambapo mechi nne zitachezwa kwa timu nane kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.Tanzania Prisons...
MWADUI FC: TUPO TAYARI KUSAKA POINTI TATU ZA SIMBA
KHALID Adam, Kocha Mkuu wa Mwadui FC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wao wa kesho, Oktoba 31 dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa...
KOCHA MPYA SIMBA ANA LESENI YA UEFA, MWENYEWE AFUNGUKA
TAARIFA zinasema kuwa, Klabu ya Simba, ipo kwenye mazungumzo na Kocha Abdul Idd Salim raia wa Kenya kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Muharami...
DJOD: JKT TANZANIA WALIWAFUNGA MABAO 6 MWADUI, HAWATATUFUNGA
RICHARD Djod, nyota wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa hawana hofu kwenye mchezo wao wa leo Oktoba 30 dhidi ya JKT Tanzania utakaochezwa...
LEO VPL RAUNDI YA NANE INAENDELEA NAMNA HII
LEO Oktoba 30 safari ya mzunguko wa tisa wa Ligi Kuu Bara unaendelea ndani ya Bongo ambapo mechi mbili zitachezwa kwa timu nne kusaka...
YANGA YAIFUATA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 30 kimeondoka Mwanza kwenda Musoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 31.Mchezo huo...
KUWAONA MASTAA WA SIMBA V MWADUI BUKU TANO TU
KESHO Oktoba 31, Simba itakuwa na kazi ya kumenyana na Klabu ya Mwadui FC kwenye mchezo wa Ligi huku viingilio ikiwa ni buku 5,(5,000). Mchezo...