BERNARD MORRISON MAJANGA MATUPU NDANI YA SIMBA

0
BERNARD Morrison nyota wa Simba kwa mwezi Oktoba amekuwa na majanga yake ya kipekee ambapo rekodi zinaonyesha kuwa amekuwa ni mchezaji anayechezewa faulo nyingi...

OSCAR MASAI, OBREY CHIRWA KUIKOSA JKT TANZANIA KESHO

0
 KIKOSI cha Azam FC kesho kina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa...

SIMBA: TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU KWA SASA

0
 JONAS Mkude, kiungo mkabaji wa muda mrefu ndani ya Simba ambaye ana uhakika wa namba kikosi cha kwanza amesema kuwa kwa sasa timu hiyo...

FOUNTAIN GATE: MALENGO YETU KUSHIRIKI LIGI KUU BARA

0
 KWA miaka miwili mfululizo tangu 2018, Fountain Gate imefanikiwa kuwa miongoni mwa timu bora zilizofanikiwa kupanda daraja hadi kuweza kushiriki Ligi Daraja la Kwanza...

KAZE WA YANGA ATENGEWA MKWANJA WA MAANA KWA AJILI YA KUFANYA USAJILI

0
 BAADA ya usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza uongozi wa Yanga umesema kuwa upo tayari kufanya usajili mwingine wa mchezaji wa...

MTUPIAJI NAMBA MOJA NAMUNGO, BLAISE ATAJA KINACHOWAPA TABU

0
 BIGIRIMANA Blaise, mtupiaji namba moja ndani ya Klabu ya Namungo FC amesema kuwa sababu kubwa inayofanya timu yao kuyumba kwa sasa ni kutokana na...

BAKARI MWAMNYETO AMPOTEZA JUMLAJUMLA JOASH ONYANGO WA SIMBA

0
 BEKI wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ambaye ni mzawa, amempoteza mazima beki kisiki wa Simba, Joash Onyango raia wa Uganda kwenye kazi ya ulinzi ndani...

AZAM FC AKILI ZOTE KWA JKT TANZANIA

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar sio mwisho wa mapambano ndani ya Ligi Kuu Bara.Azam...

KAGERA SUGAR: TUTARUDI KWENYE UBORA WETU, MASHABIKI WATUPE SAPOTI

0
NYOTA wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kuwa anaamini timu yake ya Kagera Sugar itarejea kwenye ubora wake na itafanya vizuri katika mechi zao...

YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA BIASHARA UNITED

0
 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United.Mchezo...