NYOTA AZAM FC ACHEKELEA KUSAINI KUPATA DILI NJE YA BONGO

0
 BAADA ya kufanikiwa kulamba dili la kusajiliwa na Klabu ya Macabi Tel Aviv inayoshiriki Ligi Kuu Israel kiungo kinda aliyekulia Azam FC, Novatus Dismas...

AZAM FC YAKUTANA NA KISIKI MTIBWA SUGAR

0
 VINARA wa Ligi Kuu Bara, Klabu ya Azam FC leo Oktoba 26 wamekutana na kisiki cha mpingo baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza...

VPL: SIMBA 0-1 RUVU SHOOTING

0
 Dakika ya 79 Bocco anakosa penaltiDakika ya 72 Shaban Msala kadi nyekunduDakika ya 72 Fuji Uwanja wa UhuruDakika ya 66 Mohamed Issa anapewa huduma...

SIMBA MAMBO MAZITO,YAWEKA REKODI YA DAKIKA 45

0
 SIMBA ndani ya dakika 45 kwa mechi za leo kwa mechi ambazozimechezwa leo kwa kuwa imekuwa ya kwanza ambayo imeruhusu bao la mapema dakika...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA RUVU SHOOTING, AJIBU, KAKOLANYA NDANI

0
 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Oktoba 26 dhidi ya Ruvu Shooting mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru.Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 10:00...

YANGA YAIPIGIA MATIZI BIASHARA UNITED

0
 BAADA ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC leo kimeanza kujiweka sawa...

AZAM FC :TUMEJIPANGA KUCHUKUA TAJI MOJA MSIMU HUU 2020/21

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kazi kubwa kwa msimu huu wa 2020/21 ni kuweza kuona inafikia malengo ambayo imejiwekea ikiwa ni kuweza kutwaa...

NYOTA LYON AMTUMIA UJUMBE BEKI KISIKI WA LIVERPOOL

0
NYOTA wa Klabu ya Lyon,  Memphis Depay amemtumia ujumbe beki kisiki wa Liverpool ambaye kwa sasa anatibu majeraha yake aliyoyapata kwenye mchezo  wa Ligi Kuu...

USHINDI WA REAL MADRID WAAMSHA SHANGWE BONGO NA M-Bet

0
 USHINDI wa mabao 3-1 wa Real Madrid dhidi ya mahasimu wao, Barcelona ulinogesha chemsha bongo ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ya M-Bet Tanzania na...

SIMBA KAZI IPO LEO MBELE YA RUVU SHOOTING, TAMBO ZATAWALA

0
 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba, leo wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting ambayo nayo ni timu ya wajeda...