RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO INAKWENDA NAMNA HII, SIMBA, AZAM FC KAZINI
LEO Jumatatu, Ligi Kuu Bara inaendelea kwa timu tatu kusaka pointi tatu ndani ya uwanja namna hii:-Mtibwa Sugar yenye pointi zake nane baada ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
SIMBA YAWAITA MASHABIKI,KICHAPO MBELE YA PRISONS CHAWAPA HASIRA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kesho utapambana kusaka pointi tatu kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa...
WAZIR JUNIOR AFIKIRIA KIATU CHA UFUNGAJI BORA BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA MBELE...
WAZIR Junior amesema kuwa ndoto yake ni kuwa mfungaji bora wa msimu wa 2020/21 baada ya kufunga bao moja Kwenye ushindi wa mabao 2-1...
KURASINI HEATS MABINGWA KIKAPU TANZANIA
TIMU ya Kurasini Heats imetwaa taji la ubingwa wa kikapu Tanzania (National Basketball League - NBL 2020) kwa kuifunga Oilers 76-59. Nafasi ya mshindi wa...
ADAM ADAM AWEKA REKODI YAKE WAKATI JKT TANZANIA IKIITUNGUA MABAO 6-1 MWADUI
ADAM Adam mshambuliaji wa JKT Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu Abdalah Mohamed, 'Bares' leo Oktoba 25 ameibuka shujaa ndani ya timu hiyo wakati wakiitungua...
VPL: KMC 1-1 YANGA
Dakika 45 zinakamilika inaongezwa dk 1Paul Peter anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 40 Tuisila Kisinda anafunga Goooal kwa YangaDakika ya 39 Yanga wanapata penaltiDakika...
JESHI LA KMC LITAKALOANZA LEO DHIDI YA YANGA UWANJA WA KIRUMBA
KIKOSI cha KMC kitakachoanza leo Oktoba 25 dhidi ya Yanga, Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara.
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Oktoba 25 dhidi ya KMC Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara.Tayari kikosi kimeshatia timu Uwanja wa...
AISHI MANULA WA SIMBA ANA KAZI YA KUFANYA KWA VITA YA REKODI
AISHI Manula, kipa namba moja ndani ya Klabu ya Simba kwa sasa kichwa kinampasuka kila anapotazama namna makipa wenzake wanavyoandika rekodi mpya huku naye...