MBEYA CITY YASHINDA KWA MARA YA KWANZA VPL LEO
TIMU ya Mbeya City leo Oktoba 24 imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Klabu ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
AZAM FC YAZIPIGA MKWARA SIMBA NA YANGA
AZAM FC imetamba kuendeleza dozi kwa timu kongwe za Simba na Yanga kwa kusema kila mechi wanayocheza kwao ni fainali na kudai kuwa siri...
YANGA WAPEWA ONYO MAPEMA KABISA BAADA YA KUSHINDA
KOCHA wa Klabu ya KMC, Habibu Kondo, amewatahadharisha Yanga kutokwenda na matokeo kichwani katika mechi dhidi yao itakayochezwa Jumapili ya tarehe 25 /10/2020 jijini...
HIMID MAO KAZI INAENDELEA,KILA KITU KINAWEZEKANA
HIMID Mao mzawa anayekipiga ndani ya Klabu ya ENPPI ya Misri amesema kuwa kwa namna soka la Tanzania linavyokuwa kwa kasi ni rahisi kwa...
ORODHA YA WACHEZAJI 22 WA AZAM FC WALIOANZA SAFARI KUIBUKIA MOROGORO
KIKOSI cha wachezaji 22 cha Azam FC kimeondoka Dar mchana wa leo kuelekea Morogoro ajili ya mchezo wa raundi ya 8 dhidi ya Mtibwa...
MTIBWA SUGAR: TUTAVUNJA MWIKO WA AZAM FC KUTOFUNGWA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa utatibua rekodi ya Azam FC ya kucheza mechi saba bila kufungwa kwa kuwa wamejipanga kupata ushindi kwenye mchezo...
BINGWA WA MPIRA WA KIKAPU TANZANIA KUPATIKANA KESHO
LIGI ya Taifa ya Kikapu ya Tanzania (National Basketball League - NBL) iliyoanza Februari ngazi ya mikoa RBA na sasa iko ngazi ya Taifa...
MAPOKEZI YANGA MWANZA LEO OKTOBA 24 SI MCHEZO
KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 24 kimewasili Mwanza ambapo kitakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, kesho Oktoba 25.Mchezo huo unatarajiwa...
KOCHA KATWILA AIPIGA BONGE MOJA YA MKWARA NAMUNGO
BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Azam FC kwa kufungwa mabao 2-0, Ihefu leo Jumamosi watakuwa wenyeji wa Namungo FC, Uwanja wa Sokoine. Huu unakuwa...
AL AHLY YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
KIGOGO wa soka kutoka Morocco, Wydad Casablanca, amekubali kapigika nje-ndani kwenye mtanange wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya bingwa wa...