JOTO LA DABI LIMEANZA KUPANDA, SIMBA YAIFANYIA USHUSHUSHU YANGA

0
 HATIMAYE Klabu ya Simba imeanza kuichunguza Yanga kuanzia ilipopata kocha mpya Cedric Kaze.Yanga ambayo imejifungia Kigamboni jijini Dar es Salaam, imekuwa ikifanya mazoezi kwa...

PRINCE DUBE NI HABARI NYINGINE NDANI YA LIGI KUU BARA

0
 MASHABIKI wamelinganisha kasi aliyoanza nayo mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Meddie Kagere na hii aliyoanza nayo straika mpya wa Azam, Prince...

MTIBWA SUGAR:TUTAFANYA VIZURI 2020/21

0
 THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kwa sasa wanaamini watafanya vizuri licha ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Zubeir Katwila kubwaga manyanga...

SIMBA MAJANGA TUPU NYOTA WATANO KIKOSI CHA KWANZA OUT

0
KUUMIA kwa beki wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe jana Oktoba 22 kunafanya jumla ya wachezaji watano wa Simba kuwa majeruhi.Nyota mwingine ambaye ni...

MECHI ZA UWANJA WA MKAPA ZAPELEKWA UHURU

0
 MECHI zilizopangwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa sasa kuchezwa Uwanja wa Uhuru

SIMBA KUREJEA BONGO BAADA YA KUCHEZESHWA GWARIDE NA PRISONS

0
 BAADA ya mchezo wa jana Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 kikosi cha Simba kimeanza safari leo kurejea Dar kwa ajili ya kujiandaa na...

KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA MWANZA

0
 KIKOSI cha KMC kimeshaweka kambi Mwanza kwa sasa kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa...

GLOBAL FC YATUMA SALAMU E MEDIA

0
 KUELEKEA kwenye mechi ya kirafiki kati ya wababe wa mji Global FC dhidi ya E Media, Kocha Mkuu wa kikosi cha Global FC, Philip...

WANNE YANGA WAINGIA KWENYE VITA YA KUWANIA TUZO BAADA YA KUSHINDA MBELE YA POLISI...

0
 BAADA ya ushindi wa bao 1-0 walilopata Yanga jana Uwanja wa Uhuru na kusepa na pointi tatu nyota wanne waingia kwenye vita ya kuwania...

NYOTA AZAM FC ATIMKIA ISRAEL

0
 KIUNGO Novatus Dismas ameuzwa kwenda Klabu ya Macabi Tel Aviv ya Israel kutoka Klabu ya Azam FC.Nyota huyo mwenye tuzo ya mchezaji bora chipukizi...