TAIFA STARS KAMILI KUIVAA BURUNDI, KUINGIA KAMBINI LEO
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa wana imani ya kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa kirafiki uliopo kwenye...
YANGA YAMTAJA ALIYEKABIDHIWA MIKOBA YA ZLATKO
INJINIA Hersi Said, Mjumbe wa Kamati ya Usajili ndani ya Klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa klabu...
KMC: TUMERUDI NYUMBANI MASHABIKI NJOONI MUONE BURUDANI
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa kikosi kipo kamili leo kumalizana na Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja...
AZAM FC WAENDELEZA UBABE WAO MBELE YA KAGERA SUGAR, WATAJA KINACHOWABEBA
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa mwendelezo mzuri wa matokeo ambayo wanayapata ndani ya Ligi Kuu Bara unatokana na maandalizi wanayoyafanya pamoja na uwezo...
KICHAPO CHA MABAO 6-1 CHAMKASIRISHA KOCHA MANCHESTER UNITED
KOCHA Mkuu wa Manchester United, Ole Gunner Solskjaer amesema kuwa kichapo cha mabao 6-1 alichopokea kutoka kwa Tottenham Hotspur ni cha udhalilishaji na kimemkasirisha.Usiku...
ISHU YA KAGERE NA CHAMA KUSEPA NDANI YA SIMBA IMEFIKIA HAPA
MABOSI wa Klabu ya Simba wamewaondoa hofu mashabiki wake kwa kutamka kuwa kiungo wao Mzambia, Clatous Chama na mshambuliaji Mnyarwanda Meddie Kagere tayari wameanza...
BAADA YA KUPIGWA 7-2 LIVERPOOL HAWAAMINI WANACHOKIONA
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hataki kuamini kwamba wamepoteza mchezo wao wa Kwanza ndani ya Ligi Kuu England kwa kupokea kichapo...
USHINDI WA AZAM FC WAWEKA REKODI NNE MATATA BONGO
USHINDI wa jana Oktoba 4 kwa Azam FC wa mabao 4-2 mbele ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex unawafanya Azam FC kuandika...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
SIMBA YAPIGA 4G JKT TANZANIA, JAMHURI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, leo Oktoba 4 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo...