YANGA YAPANGA KUSHTUA LEO BONGO NA LA LIGA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa leo Mei 31 utashtua Bongo kutokana na yale watakayojadili wakati wa kukamilisha mchakato wa kutiliana saini mkataba wa kuelekea...
DAH! KUMBE AZAM FC NDIO WAMEPANIA NAMNA HII….
Kocha Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, amesema kuwa watafanya mazoezi mfululizo bila kupumzika ili kukifanya kikosi hicho kurudi kwenye ubora wake kabla ya...
LUC EYMAEL ANAAMINI KAGERA SUGAR WALA SI TATIZO
Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ametuma ujumbe mzito kwa wapinzani wake Kagera Sugar ambao watacheza nao katika robo fainali ya Kombe la FA...
HIVI HAPA VIGONGO 10 VYA RUVU SHOOTING
IKIWA imecheza mechi 28 Ruvu Shooting inayobebwa na serea ya 'Kupapasa Square' ipo nafasi ya 11 na kibindoni ina pointi 39.Imebakiza mechi zake 10...
MASHABIKI SASA KUPATA FURSA YA KUONA UHONDO WA FAINALI KOMBE LA FA
IMEELEZWA kuwa fainali ya mchezo wa Kombe la FA inayotarajiwa kuchezwa Agosti Mosi, Uwanja wa Wembley itahudhuriwa na idadi ya mashabiki 20,000.Kwa sasa viongozi...
MROMANIA WA AZAM FC KUANZA SAFARI YAKE NA GARI
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC anatarajiwa kurejea muda wowote kuanzia sasa baada ya kibali cha kuja Bongo kupatikana na ataanza kwa usafiri...
LIVERPOOL YAINGIA ANGA ZA ADAMA, MWILI JUMBA
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool yupo kwenye hesabu za kuinasa saini ya winga mwili jumba na mwenye kasi anayekipiga ndani ya Wolves, Adama...
NAMUNGO:TUMEUKUMBUKA MPIRA
ADAM Oseja, mlinda mlango namba mbili wa kikosi cha Namungo FC kilicho chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery amesema kuwa anafurahia kurejea kwa mechi...
ALLIANCE FC WAIPIGIA HESABU NDEFU NAMUNGO
KESSY Mziray, Kocha Mkuu wa Klabu ya Alliance School amesema kuwa wameanza kufanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa hatua ya robo fainali...
KAGERA SUGAR YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SHIRIKISHO
UONGOZI wa Kagera Sugar unesema kuwa utapambana kwa nguvu zote ili kusepa na Kombe la Shirikisho msimu huu ili waiwakikishe nchi kwenye michuano ya...