ARSENAL YAMVUTIA KASI BEKI WA AJAX
INAELEZWA kuwa Klabu ya Arsenal ipo kwenye hesabu za kuwania saini ya nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Ajax, Nicolas Tagliafico.Nyota huyo mwenye miaka...
MBELGIJI WA YANGA KUSHUKA NA JEMBE HILI LA KUTUPIA MWANZO MWISHO MWISHO
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, ameweka wazi kuwa amepanga kumsajili mshambuliaji raia wa Ubelgiji, Andréa Fileccia mwenye umri wa miaka...
MANULA, KAGERE KUPIMWA CORONA
SIMBA wapo tayari kwa utaratibu wowote utakaotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiwemo suala la upimaji wa afya ili kujiridhisha kuwa wachezaji wao...
KLOPP WA LIVERPOOL ALIWAHIKUINOA TIMU ALIYOCHEZA ZAMA ZAKE
Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool aliibukia ndani ya kosi hilo msimu wa wa 2015 akitokea Klabu ya Borussia Dortmund.Alidumu ndani ya Dortmund kutoka...
COASTAL UNION KAMILI GADO KUREJEA KWA LIGI KUU BARA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa kikosi chake kitarejea mazoezini hivi karibuni mara baada ya sikukuu ya Eid El Fitri kumalizika.Juni...
HIZI HAPA MECHI ZA RAZACK ABAROLA WA AZAM FC MSIMU HUU
Razack Abarola mikono Mia ilikuwa namna hii:- Azam 1-0 KMC.Polisi Tanzania 0-1 Azam FC.Yanga 0-1 Azam FC.Biashara United 1-2 Azam FC.Kagera Sugar 0-0 Azam...
WAWA AGOMA KUILETA FAMILIA BONGO MAZIMA
PASCAL Wawa beki kisiki wa Simba amesema kuwa hana hesabu za kuleta familia yake Bongo kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Machi...
MTIBWA SUGAR WACHEKELEA TAMKO LA MAGUFULI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli anastahili pongezi kwa kuwakumbuka wanafamilia ya michezo kwa...
MICHAEL BALLACK: DIJK ANA BAHATI HAKUKUTANA NA BALAA LA DROGBA
KIUNGO wa zamani wa Klabu ya Chelsea, Michael Ballack amesema kuwa ni kweli kwa sasa beki wa Liverpool, Virgil van Dijk yupo kwenye ubora...
HAWA HAPA WANA TUZO ZAO KABATINI
HAWA hapa walisepa na tuzo za Ligi Kuu Bara kabla ya Janga la Corona kufanya vurugu zake linavyotaka:-Meddie Kagere wa Simba alitwaa tuzo mwezi...