HASIRA ZA LUKAKU BADO ZINAWAKA KWA KOCHA WAKE
VerifiedROMELU Lukaku, mshambuliaji wa Klabu ya Inter Milan ya Italia amesema kuwa hawezi kumsamehe kocha wake wa zamani wa Chelsea Andre Villas Boas.Sababu kubwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MENJA KUNTA AMUONYESHA UDAMBWIUDAMBWI MOLINGA
MWIMBAJI wa muziki wa Singeli nchini Meja Kunta, hivi karibuni alimtoa nishai, straika wa Yanga raia wa DR Congo, David Molinga, kwenye mazoezi yao...
LAMPARD ABARIKI KANTE KUJITENGA
KOCHA Mkuu wa Chelsea, Frank Lampard amesema kuwa uamuzi wa kiungo wake N'Golo Kante kujitenga na wenzake ni mzuri kwa manufaa yake na afya...
WALE AMBAO WALIKUWA WAMEJISAHAU KUHUSU LIGI MUDA WAO WA KUSHTUKA NI SASA WAJIPANGE
MWANGA umeanza kuonekana kwa sasa kidogo kule ambako tunaelekea kutokana na vita ya Virusi vya Corona kuendelea kupamba moto.Tayari tumeona kwamba yale maombi na...
FEDHA ZISIMPOTEZE BAKARI MWAMNYETO AKAJEGA URAFIKI NA BENCHI
UNAAMBIWA kwenye maisha ya kila siku ambayo tunaishi wewe poteza kila kitu ulichonacho ila usipoteze matumaini yatakusaidia kurejesha yale ambayo umepoteza.Ndivyo ilivyo kwenye maisha...
MUDA WA KUREJEA LIGI UPO KARIBUNI, WAKATI WA KILA MMOJA KUJIWEKA TAYARI
MAAGIZO ambayo yatatolewa na Serikali tusiyapuuzie iwapo masuala ya michezo yatarudishwa hivi karibuni kwani tulikuwa tumekosa mambo mengi kwa upande wa michezo.Sababu kubwa iliyofanya...
MBAYA WA METACHA MNATA AKUBALI KUSAINI YANGA
BIGIRIMANA Blaise, mshambuliaji namba mbili ndani ya Namungo FC amesema kuwa anaweza kusaini Yanga iwapo utaratibu wa usajili utafuatwa.Imekuwa ikielezwa kuwa miongoni mwa wachezaji...
MTUPIAJI ALIYEZIPIGA CHINI YANGA NA SIMBA AJENGA USHKAJI NA BENCHI
KASSIM Khamis, mshambuliaji wa zamani wa Kagera Sugar aliyechomoa dili la kujiunga na vigogo wa Kariakoo Simba na Yanga anapata tabu sana ndani ya...