ARSENAL WASHINDA KIBABE MBELE YA BURNLEY, YAJIPIGIA VIDUDE VIWILI
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Pierre Aubameyang amesema kuwa anajiskia furaha kwa timu yake kushinda leo mbele ya Burnley mchezo wa pili wa Ligi Kuu England...
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AZAM FC HIKI HAPA, NI MOTO BALAA
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ngao ya Jamii1. Beno Kakolanya 2. Shomary Kapombe 3. Gadiel Michael4. Erasto Nyoni5. Pascal Wawa 6. Jonas...
HILI HAPA JESHI KAMILI LA AZAM FC LEO DHIDI YA SIMBA
JESHI la Azam FC leo dhidi ya Simba mchezo wa ngao ya Jamii uwanja wa Taifa
ZAHERA AANZA NYODO YANGA
Wakati huohuo, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameahidi kuwa na msimu mzuri huku akitamba kuchukua kila kombe watakalolishindania likiwemo la Ligi Kuu Bara.Ametoa...
KAMPUNI YA SIMU, CHAKULA KUMWAGA FEDHA YANGA
BAADA ya msoto wa muda mrefu wa kutawaliwa na hali ngumu ya kifedha hasa msimu uliopita, mambo mazuri yanaendelea kutokea ndani ya Klabu ya...
VODACOM WAREJEA LIGI KUU BARA KWA MASHARTI
Imeelezwa kuwa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom imekubali kudhamini tena Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao.Vodacom ambao awali walijiondoa baada ya kutokuwa na maelewano...
MBRAZIL ALIYEKIPIGA NA NEYMAR JR, COUTINHO AMAPA TANO MBELGIJI WA SIMBA
BEKI mpya wa Simba, raia wa Brazil, Gerson Vieira Fraga, amemtaja kocha mkuu wa kikosi hicho, Patrick Aussems, kuwa ni wa kipekee.Vieira amewahi kuwa...
LUKAKU BANA AIPIGA DONGO TIMU YAKE YA ZAMANI MANCHESTER UNITED
ROMELU Lukaku, mshambuliaji mpya wa kikosi cha Inter Milan ametupa dongo kimtindo kwa timu yake ya zamani ya Manchester United alipokuwa akitoa mlinganisho wa...
POLISI TANZANIA YACHEKELEA KUINYOOSHA YANGA
DITRAM Nchimbi, mchezaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa ushindi wao mbele ya Yanga ni mwanzo mzuri kwa kikosi hicho kuelekea kwenye msimu mpya unaotarajiwa...