PILATO SITA WATANGAZWA KWA KAZI MAALUM KESHO SIMBA NA AZAM NGAO YA JAMII
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza marefa sita ambao watachezesha mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam...
AUSSEMS AIBUA SIRI NZITO SIMBA
LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA
Ramadhan KabwiliMustafa SelemanGustava SaimonAlly AllyKelvin YondanAbdul MakameMaybin KalengoFeisal SalimDavid MolingaRaphael DaudDeus KasekeAkibaFarouk ShikaloJaffary MohamedSaid JumaJuma AbdulIssa Bigirimana
NYOTA WATATU WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC KESHO TAIFA
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa ngao ya jamii kati ya Simba na Azam FC uwanja wa Taifa kikosi cha Simba kitawakosa nyota wake...
MAGURI UNGANA NA KESSY ZAMBIA
Mshambuliaji kutoka Elias Maguri amejiunga na klabu ya Nakambala Leopards FC inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia.Maguri amejiunga na Nakambala kwa kusaini mkataba wa mwaka...
GLOBAL FC KUMALIZANA NA DSJ FC MAZIMA LEO
MATAJIRI wa Sinza, timu ya Global FC, leo Ijumaa wanatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na timu ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji cha...
NYOTA YANGA AMKOSESHA AMANI KIPA TOWNSHIP ROLLERS
KIPA tegemeo wa Township Rollers, Wagarre Dikago amekiri kutoka moyoni kwamba kuna mchezaji mmoja tu anamnyima usingiza ndani ya Yanga ambaye ni Patrick Sibomana.Straika...
HARMONIZE AZIDI KUTIBUA MAMBO WASAFI
DAR ES SALAAM: Zile tetesi za staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kuwa anataka kusepa kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), zimeendelea...
KIONGOZI SIMBA AIOMBEA SAPOTI YANGA
MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuungana na wapinzani wao Yanga katika mechi za kimataifa ambapo Yanga watacheza...
WAWA ASHUSHA PRESHA SIMBA, MASHINE ZAREJEA
PASCAL Wawa, beki wa Simba maarufu kwa jina la Sultan amesema mashabiki wasiwe na presha kuelekea mchezo wa marudiano wa kimataifa dhidi ya UD...