WACHEZAJI WAWILI YANGA WABADILI UKUTA

0
BEKI wa pembeni wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ ana hatihati ya kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, lakini taarifa ziwafi kie mashabiki...

NYOTA MPYA SIMBA KUTIMKIA UARABUNI

0
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu, amekiangalia kikosi cha timu yake na kutamka kuwa hawana sababu ya kuukosa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa...

SIMBA YAOMBA SAPOTI KWA YANGA KIMATAIFA

0
UONGOZI wa Simba umewataka watanzania kuungana kwa sasa kwenye michezo ya Kimataifa bila kujali aina ya timu anayoshabikia.Kwenye michuano ya kimataifa, Yanga itakuwa ugenini...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

MTOTO ALIYEPOTEA SIKU SITA DAR APATIKANA ARUSHA

0
MTOTO ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi na awali ya Tuwapende, Daniel Evans (12) aliyepotea Agosti 10, 2019,  jijini...

WAKILI ANAYEMTETEA MALINZI ACHOKA, AJA NA OMBI MAHAKAMANI..

0
Kesi ya utakatishaji fedha pamoja na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu inayomkabili aliyekuwa rais wa shirikisho la soka nchini (TFF) Jamal Malinzi, pamoja...

HATA NIKIZEEKA LADHA YANGU IKO PALEPALE

0
Ukiwa unafikiria uzee utakujaje au utaharibu muonekano wako, Malkia wa Mipasho Bongo, Khadija Kopa, hana hofu na hilo kwani anaamini ule usemi usemao; “ng’ombe...

BREAKING: NDEGE YA URUSI YAANGUKA SHAMBANI, MLIPUKO WA MOTO WATOKEA – VIDEO

0
NDEGE ya abiria ya Urusi  leo, Agosti 15, 2019, imeanguka baada ya ndege (mnyama) kuingia ndani ya injini na kusababisha mlipuko wa moto katika...