MAPYA YAIBUKA JUU YA NEYMAR PSG NA BARCELONA, TETESI KIBAO ZA SOKA ULAYA HIZI...
Maafisa wa Paris St-Germain na Barcelona walikutana kwa mara ya kwanza kujadili kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa PSG Neymar, 27, lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa...
MKUDE AWAUMIZA AZAM
Kikosi cha Simba, Jumamosi hii kitashuka uwanjani kupambana na Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...
MALINZI KORTINI: TFF ILIKUWA NA HALI NGUMU, NILIIKOPESHA 15M
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (59), amedai mahakamani kuwa wakati anaingia madarakani shirikisho hilo lilikuwa na hali ngumu...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, LIPO MTAANI BURE KABISA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la BETIKA, lipo mtaani, nakala yake ni bure kabisa
NEEMA YAZIDI KUMIMINIKA NDANI YA YANGA
NEEMA imezidi kumiminika ndani ya uongozi wa Yanga baada ya mlinzi wa zamani wa Yanga, Ahmed Amasha kuukabidhi uongozi wa timu hiyo vifaa mbalimbali...
JUMA ABDUL, YONDANI MAMBO SAFI YANGA, DANTE MAMBO BADO
BAADA ya Juma Abdul na Kelvin Yondani kumalizana na Yanga sasa kazi moja imebaki kumrejesha kikosini Andrew Vincent 'Dante'.Abdul, Yondani na Dante ni mabeki...
YANGA YAIFUATA CAF ISHU YA MAJEMBE MATATU KUIVAA TOWNSHIP ROLLERS
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kwafuata wapinzani wao Township Rollers kishujaa kwa kuongeza majembe matatu ya kazi.Makamu Mwnyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema...
MCHEZAJI SIMBA ACHUKUA NAFSI YA BEKI AFRIKA KUSINI
HATIMAYE aliyekuwa beki wa Simba, Mghana Asante Kwasi amejiunga na Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini timu aliyokuwa akiitumikia Mtanzania, Abdi Banda...
YANGA YAPOKEA VIFAA VYA SOKA VYENYE THAMANI YA MILIONI TATU
Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Yanga, Ahmed Amasha, leo ametembelea makao makuu ya klabu hiyo na kutoa zawadi ya vifaa mbalimbali vya soka.Amasha ametoa...
GUNDOGAN ACHEKELEA KUBAKI NDANI YA MANCHESTER CITY
IIKAY Gundogan, kiungo mshambuliaji wa Manchester City bado yupo sana ndani ya kikosi hicho.Gundogan ameongeza kandarasi ya kuitumikia klabu hiyo ambapo atadumu mpaka mwaka...