ZINEDINE ZIDANE AIKACHA KAMBI KUTOKANA MATIZO YA KIFAMILIA
ZINEDINE Zidane meneja wa Real Madrid ameondoka katika kambi ya timu hiyo kwa dharula na kurejea nchini Canada kutokana na kupata matatizo ya kifamilia.Meneja...
NIGERIA V SENEGAL NI MOTO WA KUOTEA MBALI LEO
KUMEKUCHA leo vita nyingine ya nusu fainali kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri ni kati ya Nigeria dhidi ya Algeria utakaopigwa majira ya...
SENEGAL NA TUNISIA BONGE MOJA YA VITA YA KISASI LEO AFCON
MICHUANO ya Afcon bado inazidi kunoga ambapo kwa sasa ni hatua ya nusu fainali na Senegal itamenyana na Tunisia ni miongoni mwa mechi tamu...
BOURNEMOUTH WAJANJA KWELI, WAIPA ARSENAL WINGA KWA HESABU
RYAN Fraser winga wa Bournemouth huenda akatua ndani ya kikosi cha Arsenal kwa ajili ya matumizi ya msimu ujao.Mkataba wa winga huyo mwenye umri...
KWASI WA SIMBA HUYOO ANUKIA LIPULI
ASANTE Kwasi aliyekuwa beki wa zamani wa Mbao FC na Simba kwa sasa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya kikosi chake cha zamani...
UHONDO WA TAMASHA LA FAITH BAPTIST KUNOGESHWA NA YANGA
TIMU ya Yanga inatarajiwa kucheza na klabu ya Mawenzi Market mchezo wa kirafki katika Tamasha Kubwa la Faith Baptist Church linalotarajiwa kufanyika Julai 28...
TANZANIA PRISON YATAJA SABABU YA KUANZA KAMBI MAPEMA
ADOLF Richard Kocha wa Mbeya City amesema kuwa tayari timu imeingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa mwaka 2019-20 unaotarajiwa kuanza...
AZAM FC: ROBO FAINALI SI MCHEZO, TUTAPAMBANA
MABINGWA watezi wa kombe la Kagame Azam FC baada ya kutinga hatua ya robo fainali wameanza kujiwinda kuelekea kwenye mchezo wa robo fainali utakaochezwa...
ZAHERA AMPA YONDANI KITAMBAA CHA AJIBU
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga yupo mbioni kumrejeshea kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yonddani.Hatua hii imekuja mara baada ya aliyekabidhiwa kitambaa hicho, Ibrahim...
UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA SPOTI XTRA LEO JUMAPILI, HUKO SIMBA KUMENOGA
Muonekano wa gazeti la Spoti Xtra katika ukurasa wa mbele leo Jumapili.